Kolonia santita!

Kolonia santita!

agogo

Member
Joined
Mar 22, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Wadau, naomben maoni yenu kuhusu hiki kitabu kihusianacho na mapambano dhidi ya madawa ya kulevya.je, kitumike kama dira ya kampeni ya kupambana na madawa ya kulevya kwa taifa letu ambalo linazidi kupoteza sifa yake kutokana na kukithiri kwa biashara hii???

Wakuu nawasilisha!
 
agogo karibu jamvini. Kolonia santita ndio nini na hicho kitabu ni kipi?
 
Last edited by a moderator:
Wadau, naomben maoni yenu kuhusu hiki kitabu kihusianacho na mapambano dhidi ya madawa ya kulevya.je, kitumike kama dira ya kampeni ya kupambana na madawa ya kulevya kwa taifa letu ambalo linazidi kupoteza sifa yake kutokana na kukithiri kwa biashara hii???

Wakuu nawasilisha!

na wewe kumbe upo jf
 
Back
Top Bottom