Mchezaji yeyote akitoka arsenal basi ndo mwisho wake ujue umefika ni nani aliyetoka arsenal na bado akaendelea kuwika? nasri hayupo kwa mipango ya mancini kashaambiwa na sasa anataka kuondoka mcfc, fabregas kaenda barca barca imeanza pata gundu la kukosa vikombe, clichy atleast anacheza mara kadhaa mcfc lakini ndo kashapoteza jina alilojenga arsenal.