Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Afande Sele ft Prof. Jay na Solo Thang-Mtazamo,
Utafukuzwa kazi yaan hujamtaja boss wako kabisa.Rama Dee & jide Kama hauwezi
Mzee usiongee as if unawafahamu watu humu jamvini me sikujui na wewe unijui mind your businessUtafukuzwa kazi yaan hujamtaja boss wako kabisa.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Jamaniii Inno amekasirika, hahaha lakini umekumbushwa usije ukasema hukuambiwa.Mzee usiongee as if unawafahamu watu humu jamvini me sikujui na wewe unijui mind your business
Dah nilitaka kuisahau nyimbo bora kabisa aisee, thnxLady J Dee ft. TID - understanding
Professor J ft. Ferooz - Nikusaidiaje
Bushoke ft. Juliana - usiende mbali
Hafsa ft. Banna -pressure
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Dah nilitaka kuisahau nyimbo bora kabisa aisee, thnx
USIENDE MBALI
Jikite kwenye mada alafu uache shobo mbona sijawahi kukuingilia mambo yako kwanza umjui mtu anafanya Nini au comment zinakuumiza Sana kiasi ambacho unashindwa kujizuiaJamaniii Inno amekasirika, hahaha lakini umekumbushwa usije ukasema hukuambiwa.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ila hyo ngoma ni ya Juliana, Bushoke alishirikishwa tu japo alifanya vzr kuliko kawaida na czan km aliwahi fny ngoma kali km hyo