namba ya mwisho kulia ndo unaanza kuiandika kwenye jibu. kwa kua jibu linatakiwe liwe na namba mbili basi namba ya pili unaipata kwa kujumulisha namba tatu ulizo pewa.
mfano:
113= unachukua namba ya mwisho ndo ianze kwenye jibu yaani 3.
halafu namba ya pili unaipata kwa kujumulisha namba ulizo pewa yaani 1+1+3=5
so hii tano unaiweka nyuma ya 3 jibu linakua 35.
So katka swali tulilopewa la 117 jibu ni 79. mia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.