Koffi Olomide

Haianzi na Mobimba Mokili bali Mokili Mobimba -Dunia Nzima/Yote
Ndugu yangu weee nimeokoteza okoteza hapo jua kuna bro katupia, lol
ila sijui hata moja lakini shukrani kwa kunisahisha.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kilingala ni kibantu, mpangilio wa maneno ni kama kiswahili: mfano mwasi kitoko= msichana mzuri, kwa kiingereza we could say beautiful girl, sasa kwa lingala hawasemi kitoko mwasi. Papa na ngai (baba yangu) unaona mpangilio huo???
 
Ndo nini sasa
tafsiri haieleweki ni mbovu
 
Kilingala ni kibantu, mpangilio wa maneno ni kama kiswahili: mfano mwasi kitoko= msichana mzuri, kwa kiingereza we could say beautiful girl, sasa kwa lingala hawasemi kitoko mwasi. Papa na ngai (baba yangu) unaona mpangilio huo???
Itabidi nikutafute bro unipe shule ya kilingala.... if its ok with u.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…