KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Ameipa jina " VILLA DELPIRLO " likiwa ni jina la mwanae kipenzi ambae siku ya uzinduzi huo ilikua ni birtday yake,huu ni mfano wa kuigwa na wasanii wetu badala ya kubanana kwenye nyumba za kupanga sinza huku wakila bata na kutumi pesa vibaya,wanapopata mafanikio wakumbuke kufungua vitega uchumi ili hata wakipotea kimuziki kama mr nice wa sasa waendelee kula kuishi vizuri bila kuishi kwa kupiga mizinga na kubaki na stori enzi zngu nilipokua juu n.k. is not gonna help either!hongera koffi papa na delpiro morinho,papa na didistone pamoja na sean james,
Last edited by a moderator: