Koffi Olomide aingiza perfume yake sokoni

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,149
BB Gout perfume by Koffi Olomide..................BB GOUT perfum perfume de koffi olomide!

Yule nguli wa muziki wa congo simba wa africa Papaa na SEAN JAMES,PAPAA na DELPIRO,PAPA na DIDISTONE amevunja ukimya miongoni mwa wanamuziki wa congo kujihusisha pia na ujasiriamali hususan kwa kuanzisha clothing line n.k. kama wafanyanyavyo wanamuziki ama watu maarufu wa marekani na ulaya kutumia umashuhuri wao kufanya ujasiriamali kwa kuanzisha product zenye nembo na majina yao koffi amefungua njia kwa wanamuziki maarufu wacongo kwa yeye kuanzisha perfume line yake ambapo ameintroduce perfume yake kama inavyoonekana kwenye tangazo lilipo kwenye "poster" hiyo hapo juu,jina la perfume hiyo limetokana na wimbo huu hapa chini ambao koffi aliutunga kwa ajili ya kumuelezea mwanamke mrembo BB GOUT wimbo ambao unapendwa sana na kina dada kwenye ulimwengu wa wazungumza lingala africa na ulaya...

Last edited by a moderator:

Ametisha,huo ndio ujasiriamali kwa njia ya vitendo
 
Last edited by a moderator:
daaaah Nasubiria mzee wangu NGurumo naye atoe perfume yake ...itakuwa babu kubwa sana .......
 
hapa jf nina watoto wangu kibao
naamini wataninunulia hako ka manukato ili
na mimi mama ning'ae.

mimi napendaga sana muziki wake.
 
Back
Top Bottom