Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,048
- 144,455
Amehukumiwa akiwa wapi? Kongo au kenya? Maana ili ripotiwA kuwa alirudishwa kwao, ufafanuzi plzAmehukumiwa leo kwa kosa la kumshambuli mwananziki wake jijini Nairobi hivi karibuni.
Chanzo:Mwananchi online
Amehukumiwa akiwa wapi? Kongo au kenya? Maana ili ripotiwA kuwa alirudishwa kwao, ufafanuzi plz
maushahidi yalikua wazi hakuna kuchelewesha hukumuSi alikataa kushambuliwa huyo binti?
Na mbona hukumu imekuwa fasta hivyo
Si alikataa kushambuliwa huyo binti?
Na mbona hukumu imekuwa fasta hivyo
Hivi ndie aliyesema ikulu ya Kabila ni kama sebule ya mtoto wake ?Bifu lake na Kabila limemkosti. Siasa za Afrika.
Sasa akitoka alinganishe gereza na sebule ya mtoto wakeHivi ndie aliyesema ikulu ya Kabila ni kama sebule ya mtoto wake ?
Nmesoma bbc amekamtwa kwao kongo, ila ya kufungwa cjaionaAccording to mwananchi alirudishwa kwao.
Bifu lake na Kabila limemkosti. Siasa za Afrika.
Halafu kule jela asipoangalia kuna mijamaa ina kiu ya nanilii, maana utakuta ina miaka haijapunguza uzito. Anaweza kufanywa mchumba wa mtu. Watu hawana dini bwnl
Sasa akitoka alinganishe gereza na sebule ya mtoto wake