Kodoa macho,umeona nini?

Kodoa macho,umeona nini?

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Aisee kama sio Ulofa wangu ningetoa zawadi hapa,ila kiumbe kilichopo hapo ni chura naomba nionyeshwe yupo wapi

umeona nini.JPG
 
Nimekoodooooaaaa..naona tuu kama tawi lina damu
 
Aisee umekosea tafuta hata darubuni kwa maana kuonekana kwake ni shida kweli!
 
Yupo hapo kati kwenye hilo jani lenye rangi ya kahawia iliyoiva sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom