Kodi

Tom Ford

New Member
Jul 1, 2017
2
0
Habari za mchana members.... Nilikuwa naomba Masaada wa maelezo kuhusiana na hili swala la ulipaji kodi ambalo TRA wameliongezea muda wa wiki mbili, hii kodi inayolipwa ni ya majengo au ardhi? Pili kwa wamiliki wa maeneo yasio rasmi (Squatter areas) pia wanatakiwa kulipia hii kodi au la?
 
Ndio hiyo na walengwa ni wanaoishi kwenye squarters.
 
TRA yasema: ''Wananchi bado mbumbumbu wa kodi ya majengo ''

Je wananchi mtaani jijini Mwanza wana maoni gani juu ya TRA kuhusu uendeshaji wa shughuli zake za ikiwemo kulipia kutumia mitandao ya kieletroniki badala ya kujazana katika ofisi za TRA au Ofisi za Halmashauri na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza.

Source: MCL Digital
 
Watanzania hatuna kawaida ya kufuatilia matangazo mbalimbali iwe ya serikali au jamii.
Zoezi LA ulipiaji majengo lilianza tarehe 1"7"2016 .Hizi foleni ni kawaida yetu tumezoea.
 
Back
Top Bottom