Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 257
Kiongozi huyo wa siku nyingi kwenye soka nchini, alifafanua kuwa ofisi zilizopo Karume, zingetosha kwa shughuli za TFF, hivyo hakuna haja ya kulipa kodi ya pango kiasi hicho katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
"Siyo kipindi cha kulaumiana bali tuangalie njia sahihi ya kuhakikisha soka la Tanzania linapiga hatua, kuliko kuendelea kupasiana mipira kuona mtu fulani ndiye mwenye jukumu pekee, hivyo TFF, peke yake haiwezi kufanya yote," alisema kiongozi huyo na kuwataka vigogo wa TFF kubuni mipango ya maana ya kuendeleza soka nchini.
MwanaSpoti