Msomi Livelu
Member
- Jun 21, 2024
- 24
- 31
Kodi ya nyumba kwa maneno mengine. Mwanzo ilikuwa inakatwa unaponunua umeme. Ila kwa kuwa imerudi halmashauri watendaji wa vijiji ndio watakao kusanya na tayari wameshaanza mafunzo.Kodi ya jengo kivipi?
Ile tunayokatwa 1500 kila mwezi kwenye LUKU. Hawa watu wanatapatapa sanaKodi ya jengo kivipi?
Kuna Kodi ya kiwanja na ya jengo, Land rent unalipa halimashauri ya jengo kwenye simu Ndivyo ninavyo elewa mimiIle tunayokatwa 1500 kila mwezi kwenye LUKU. Hawa watu wanatapatapa sana
Na ndicho nilichoeleza mimiKuna Kodi ya kiwanja na ya jengo, Land rent unalipa halimashauri ya jengo kwenye simu Ndivyo ninavyo elewa mimi
Shimo lipi? Kwa aina ipi ya watu? hawa hawa wajinga wa hili Taifa?Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo.
Hivi karibuni serikali imeamua kurudisha kodi ya MAJENGO kwa halmashauri kwa kigezo cha kuziongezea halmashauri mapato. Ila kwangu mimi Kodi kurudisha Kodi hii halmashauri wakusanyaji wakiwa watendaji wa vijiji italeta vita kubwa sana kwa wananchi wa vijijini na Rais wao Samia, maana kodi hii Sasa italipwa direct na sio kama mwanzo ambapo ilikuwa inalpwa kupitia luku, kupitia luku watu wengi wamelipa bila kutambua na hivyo kuondoa malalamiko, pili kupitia luku imefanya Kodi hii iwahusu watu wenye kipato cha kati na juu na sio cha chini kama itakavokuwa kuwa kupitia watendaji wa vijiji.
Mimi najiuliza waziri aliepanga hili ana agenda gani kwa muheshimiwa raisi, hasa ukizingatia mwakani ni uchaguzi mkuu na waziri anajua fika kabisa watendaji watawafuat wananchi nyumba kwa nyumba kukusanya kodi.
Na vipi Rais akubli mtego huu utakao mpa wakati mgumu kutetea kiti chake kwa kuwapa wapinzani wake agenda zitakazoeleweka kwa wapiga kura?
Mimi namshauri muheshimiwa raisi labda Kodi ya mabango ndio irudi kwa halmashauri. Ila Kodi ya nyumba ni bomu kwako, acha iendelee kwa muundo uliopo hivi Sasa, huyo waziri Hana nia njema na wewe.
Kodi ya jengo kwa lugha nyingine ni property tax.Ni kodi inayotozwa kutokana na thamani ya jengo lako.Kodi ya jengo kivipi?
Hiyo ya jengo ni kwenye simu ndio, Ila mtendaji was Kijiji ndie atakae kuja kuchukua taarifa za mwenye jengo na kutuma halmashauri, halmashauri itaandaa control number na kumpatia mtendaji ili akampatie mwenye jengo ili aweze kulipia.Na ndicho nilichoeleza mimi
Unayokatwa kwenye simu ni jengoIle tunayokatwa 1500 kila mwezi kwenye LUKU. Hawa watu wanatapatapa sana
Na aliyokuwa anauliza Zemanda kwenye post #2 ni ipi .Unayokatwa kwenye simu ni jengo
Now ni elfu 2, sio 1500 tenaIle tunayokatwa 1500 kila mwezi kwenye LUKU. Hawa watu wanatapatapa sana
Haya ni makosa makubwa sana. Mimi binafsi nina nyumba 2 za ghorofa na nazimiliki tangu mwaka 2007 na nyingine 2014. Nilikuwa sijawahi kulipa kodi ya majengo hadi mwaka 2023/4 LUKU ilipoanza kukusanya na uwezo ninao wa kulipa.Nawasalimu ndugu zangu wapena maendeleo.