brave_3
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 1,186
- 710
Mkuu ulivyo dhani ni kama mimi....Kauli ya Waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya bajeti inawahusu watu gani aliposema nyumba za kawaida zitakuwa 10000 na ghorofa 50000, binafsi nilidhani ndiyo standard kwa nchi nzima
Mimi nyumba haina dhamani hata ya 20 mil lakini wanechukua sh 5,5000...yani hata una kiwanja umesimamusha Choo cha chumba kimoja jiandaw na 50000 hapo kwa Tabora...
Kodi ya majengo katika hotuba ya waziri wa fedha na haya yaliyopo siya elewi kabisa