A
Mmechelewa kupewa elimu ya ulipaji(kuongeza mapato)tozo.Kwenye mikutano muwe mnawaita wataalamu wa biashara(mkurugenzi)mfafanuliwe.Wigwa Mwanamalundi?Manispaa ya Mkoa wa Tabora(sijui mikoa mingine), imeanzisha ushuru wa mabango ya biashara ambayo yapo kwenye fremu ya mfanya biashara. Yaani mmiliki wa duka la kuuza unafikia kubandika bango kwenye fremu yako kuelezea biashara unayouza, manispaa wanadai ushuru.
Hii ni tofauti na utaratibu uliokuwepo mwanzo ambao ulitoza ushuru kwa mabango, vibao vilivyopo kwenye eneo la Serikali kama vile reserve ya barabara.
Me niliwaaambia hata kama na hilo napaswa kulipa basi kausheni nalitoa wakuu 😀ili mradi tu watuibie.. vihela hela vingiiNi nchi nzima mkuu
Mimi mpaka Leo sina bango
Bango ulilobandika ukutani Kwa mfano umeandika JANE SHOP?Ni nchi nzima mkuu
Mimi mpaka Leo sina bango
Acheni mle Chuma mnachafua mazingira, mabango Kila kona utazani 7-7 day!.Manispaa ya Mkoa wa Tabora(sijui mikoa mingine), imeanzisha ushuru wa mabango ya biashara ambayo yapo kwenye fremu ya mfanya biashara. Yaani mmiliki wa duka la kuuza unafikia kubandika bango kwenye fremu yako kuelezea biashara unayouza, manispaa wanadai ushuru.
Hii ni tofauti na utaratibu uliokuwepo mwanzo ambao ulitoza ushuru kwa mabango, vibao vilivyopo kwenye eneo la Serikali kama vile reserve ya barabara.
Ndio kama lipo nje unalipiaBango ulilobandika ukutani Kwa mfano umeandika JANE SHOP?
Huu ni utitiri wa Kodi aiseNdio kama lipo nje unalipia
Yakweli haya , wajinga sanaTengeneza 3D nahisi bango lake halina au lina kodi chini kidogo...