Kodi Nyingine Mpya Hiyoooo!

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Nahisi kama vile nchi iko katika kinyang'anyilo cha kumlipa mdeni ambaye wananchi hawamjui na wala hawajambiwa kama yupo na wanadaiwa naye! Kwa nini kodi na ada zimepaa ghafla namna hii? Bima ya magari juu, Road License/Motor vehicle bei juu, kusajiri Biashara bei juu, leseni za Biashara bei juu mara dufu?!

Tunakoelekea Serikali italeta kodi ya kuongea na kodi ya kuandika kabla haijaleta kodi ya kuvuta pumzi!




 

Mkuu sijaona sababu ya wewe kushangaa sana kwa sababu reason zipo wazi sana kwa nini kodi sasa hivi zimejaa kuliko maelezo. CCM inatafuta hela za kampeni 2015. Uchaguzi ujao ni mgumu sana kwao na hilo wanalijua ndo maana wanaanza kujiandaa kifedha mapemaaaaa. Au unataka mpaka waje kwenye vyombo vya habari wakwambie kuwa "tunakusanya hela ya kampeni kwa ajili ya uchaguzi 2015"????????
Amka mkuu
 
hekimatele kuna maboresho gani yamefanyika katika utoaji wa hizo huduma kustahili nyongeza ya tozo/ada?
 

Mkuu rudi u-edit hapo kwa red na blue, hivyo ni kitu kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…