Wakuu nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA kinachohusu kodi za magari, nimekutana na kodi ya Custom processing fees, na Railway Dev.levy ambazo zinatozwa tofauti kulingangana na aina ya Gari.
Kodi hizi hapo kabla hazikuwapo naomba kufahamishwa wale wajuzi wa masuala ya kodi. Utaratibu upi unaotakiwa kufuatwa katika uanzishwaji wa kodi mpya?
Je wadau hatupaswi kufahamishwa, uwepo wa kodi hizi tayari utaaribu bajeti za wadau ambao wamekwishaagiza magari yao .
Naomba msaada tafadhali.