Nadhani sheria iko hivyo!Pimia watu ili ukusanye kodi kwa uhuru!
Uko sawa mkuu, ila kama kweli tunapenda kutii sheria bila shuruti hata kujenga sehemu ambazo hazijapimwa pia sheria inakataza lakini tunajenga tena bila hata kibali cha ujenzi.Kuna kodi mpya ya majengo imeanzishwa kwa nyumba hata zile ambazo zimejengwa sehemu zisizopimwa.
Hii imekaaje kisheria, maana lazima tutii sheria bila shuruti. Kodi hii iko kisheria? Mpaka sasa nabo sjeria inataka nyumba zilizojengwa katika sehemu zilizopimwa ndiyo zilipe.
Naambatanisha barua ya wito wa kulipa toka TRA kwa sehemu ambazo hazijapimqwa.
Hujaelewa, sehemu ambazo hazijapimwa hakuna kibali cha ujenzi! Na huwa hazilipiwiwi kodi! Sasa haya wanayoyafanya si kinyue cha sheria?Uko sawa mkuu, ila kama kweli tunapenda kutii sheria bila shuruti hata kujenga sehemu ambazo hazijapimwa pia sheria inakataza lakini tunajenga tena bila hata kibali cha ujenzi.
Hakuna namna tulipe kodi tu.
Hazilipiwi kodi kwa kuwa kisheria haitarajiwi mtu ajenge sehemu hizo, kwa hiyo anapojenga inakuwa ni kinyume cha sheriaHujaelewa, sehemu ambazo hazijapimwa hakuna kibali cha ujenzi! Na huwa hazilipiwiwi kodi! Sasa haya wanayoyafanya si kinyue cha sheria?
wakiamua kwenda kisheria watabomoa hizo nyumba. Kipi bora ulipe kodi 20,000/-(kwa mantiki hio 'wanarasimisha' nyumba yako) au wavunje nyumba yako kwa mujibu wa sheria.Hujaelewa, sehemu ambazo hazijapimwa hakuna kibali cha ujenzi! Na huwa hazilipiwiwi kodi! Sasa haya wanayoyafanya si kinyue cha sheria?
Ktk kikao hiki cha bunge la budget. Waziri mwenye dhamana alifafanua ni nyumba zipi zinazostahili kulipia na zipi hazistahili. Kama nyumba yako ni ya makazi na hujapangisha. Wewe hustahili kulipa. Nyumba za ibada, na zile zinazotoa huruma za serikali nazo hazilipiwi. Lkn nyumba yako unaishi wewe na umepangisha unawajibika kulipia kodi. Au nyumba ya biashara.Kuna kodi mpya ya majengo imeanzishwa kwa nyumba hata zile ambazo zimejengwa sehemu zisizopimwa.
Hii imekaaje kisheria, maana lazima tutii sheria bila shuruti. Kodi hii iko kisheria? Mpaka sasa nabo sjeria inataka nyumba zilizojengwa katika sehemu zilizopimwa ndiyo zilipe.
Naambatanisha barua ya wito wa kulipa toka TRA kwa sehemu ambazo hazijapimqwa.
No please hakuna sheria inayokataza kujenga sehemu isiyopimwa. Hakuna! Huko zinatawala sheria za kimila... customary right of occupancy! ambayo ipo kisheria lakini haina kipengele chas kulipia kodi mpaka uwe na granted right of occupancyHazilipiwi kodi kwa kuwa kisheria haitarajiwi mtu ajenge sehemu hizo, kwa hiyo anapojenga inakuwa ni kinyume cha sheria
Itakuwa vizuri kama utatuwekea clip hiyo ,Ktk kikao hiki cha bunge la budget. Waziri mwenye dhamana alifafanua ni nyumba zipi zinazostahili kulipia na zipi hazistahili. Kama nyumba yako ni ya makazi na hujapangisha. Wewe hustahili kulipa. Nyumba za ibada, na zile zinazotoa huruma za serikali nazo hazilipiwi. Lkn nyumba yako unaishi wewe na umepangisha unawajibika kulipia kodi. Au nyumba ya biashara.
Hakuna sheria inayosema sehemu zisizopimwa haziruhusiwi kujenga, haipo! Ila sehemu zilizopimwa lazima uwe na kibali!wakiamua kwenda kisheria watabomoa hizo nyumba. Kipi bora ulipe kodi 20,000/-(kwa mantiki hio 'wanarasimisha' nyumba yako) au wavunje nyumba yako kwa mujibu wa sheria.