Kodi lazima ikusanywe bila Kubembelezana

Kodi lazima ikusanywe bila Kubembelezana

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,207
Reaction score
8,448
Wakuu mambo ya fedha bana huwa hayana kufake kabisa hayo sio siasa. Chungu kikiyumba lazima impact yake imguse kila mtu.

Wafanyabiashara wa kubwa iwe wa asili ya kiasia au wa bongo wote hu invest pesa nyingi ili kukwepa kodi ili waweze kumaximize profit za biashara zao ,hivyo hao watu sio wa kucheka nao kabisa maana vinginevyo tutavuna mabua.

Na sio watu wa kuridhika hata uwabebe mgongoni, mwendazake alilijua ilo na akaona the best way ya kuvuna mtaji mkubwa wa kisiasa ni kuwatumia hawa watu kwa kumask kama wanyonge na kuwafanya wajione special, aliwapotezea mambo ya kodi kwa kuwachia wafanye biashara popote pale.

Mzee baba kweli aliwin hilo kundi na akadeal na wenyenazo kwa mgongo wa investors na kuwakamua haswa ili maisha yaende na alienda mbali na kuunda mpaka task force.

Hakuwa anawaonea bali ni tendency yao tu ya kukwepa kodi, leo mama kaingia na ameonesha kuwaunga mkono haswa kinachotokea sasa ni wa chini kukamuliwa ili maisha yaende.
 
3F48B623-02D5-4407-A24F-C8B9BE35E83E.jpeg
77275D06-291A-4CA0-A58D-1B6C4B35671D.jpeg
 
Situmi tena hela ovyo kwenye sm nitaweka hela za bando na luku tu.
 
Back
Top Bottom