Kodi kwenye android box

Kodi kwenye android box

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Kwa wataalamu wa kodi naomba kuuliza kuna jamaa yangu ana hii android box ameiunganisha kwenye TV sasa niliupdate kodi ambayo IPO kwenye TV box yake ila tatizo ninapofika kwenye install from repository ninapofungua mfano Adrian repo unakuta hamna kitu chaku install na step zote nimekwenda sawa tatizo ni nini!
 
Kuna step unatakiwa usubiri kwanza update kabla ya kwenda hatua nyengine
 
Nahitaji kuangalia mpira mechi za ulaya. Nlikuwa natumia castaway lkn kwa sasa inazingua... Kama kuna mtu anajua directory au source nyingine ambayo naweza nikapata hizi channels bila shida anisaidie. Asanteni
 
Sports devil,zem TV,DC sports
 
Kwa wataalamu wa kodi naomba kuuliza kuna jamaa yangu ana hii android box ameiunganisha kwenye TV sasa niliupdate kodi ambayo IPO kwenye TV box yake ila tatizo ninapofika kwenye install from repository ninapofungua mfano Adrian repo unakuta hamna kitu chaku install na step zote nimekwenda sawa tatizo ni nini!
Hizo Repo ni Links kwanza zijaribu kuzi Browse kwenye browser ya PC au Simu kama inafunguka!
 
Back
Top Bottom