Kodi kwa 'watoto' wa miaka 18?

Yes it can be done! Na kuwasaidia vijana zaiadi ya hao milioni 7. Na wakatengenezewa ajira endelevu. Kuna nchi tayari wanafanya hivyo na tax base yao imekuwa for 45% . Ukiiangalia unaweza ona aiwezekani na pia ni kituko- Lakini hii inaweza kuwa mkombozi wa Vijana wetu hapa nchini.
 
UNAKUWA NA TIN, MAPATO YAKO UNALIPWA KUPITIA HIYO TIN KILA MTU ANAYEINGIZA KIPATO KUANZIA MIAKA 18 ANAKUWA SEHEMU YA MAENDELEO YA NCHI. IFIKE SEHEMU MFAGIAJI AKILIPWA ALIPWE KUPITIA TIN NA ALIPE KODI KULINGANA NA KIPATO, INAPENDEZA SANA. NA TUACHE ULALAMISHI WA KINYAPASI.
 
Muwe mnasikiliza na kuelewa .....waziri alisema Mwenye miaka 18 ambaye anaingiza kipato...kama haingizi kipato hiyo haimuhusu..
Mnatuchanganya tu, wengine wanasema kila mtu anayefanya manunuzi awe wa miaka 18 analipia kodi..wewe unasema ambaye ana kipato?!
 
Ni kweli Mkuu, watu (vijana) wakipata skilled jobs, wakalipa tax nzuri, lazima kodi iongezeke, sema serikali yetu ubunifu no.
 
Mnatuchanganya tu, wengine wanasema kila mtu anayefanya manunuzi awe wa miaka 18 analipia kodi..wewe unasema ambaye ana kipato?!
Nakuchanganya kivipi...kwani kauli ya waziri hukuisikia?
 
Soma posti ya #40
Sasa maoni ya watu yasikuchanganye unapaswa kusikiliza kauli ya waziri ...

Kila mtu huku JF anatoa maoni kwa uelewa wake na siyo wote wako sahihi...unapaswa kuchambua na kuelewa kipi sahibi kipi cyo sahihi
 
Mnatuchanganya tu, wengine wanasema kila mtu anayefanya manunuzi awe wa miaka 18 analipia kodi..wewe unasema ambaye ana kipato?!
Kamsikilize aliyesema ndugu ili usipotoshwe. Kwa akili ya kawaida tu unaona inawezekana kurudisha kodi ya kichwa bila kipato? Kwa sheria ipi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole saana ila kuwa na TIN sio kutozwa kodi ni utambulisho tu wa mlipa kodi mie ninayo TIN huu mwaka ni watatu sasa na sijawah kulipa kodi yoyote ile na hutolewa bure tu.
Ukiwa na namba ya utambulisho wa mlipa kodi halafu hulipi kodi si matumizi mabaya ya karatasi za serikali?
 
Ukiwa na namba ya utambulisho wa mlipa kodi halafu hulipi kodi si matumizi mabaya ya karatasi za serikali?
Hapana sababu kuna siku utapata tu kipato na nchi yako itaona. Tunapoelekea system zitakuwa imara na mifumo ya malipo itakuwa wazi kwa serikali.
 
Kamsikilize aliyesema ndugu ili usipotoshwe. Kwa akili ya kawaida tu unaona inawezekana kurudisha kodi ya kichwa bila kipato? Kwa sheria ipi?
Its pointless kuwapa watu hayo TIN number ambazo hawatazitumia, soma post ya Mkuu Numbisa pale juu, katoa suggestion nzuri tu, nini kifanyike.
 
Ukiwa na namba ya utambulisho wa mlipa kodi halafu hulipi kodi si matumizi mabaya ya karatasi za serikali?
Kama ulimsikiliza Mwigulu jana alisema wanahama
From Papers to Digital

Na hamna hasara yoyote kwa maana hata vitambulisho vya mpiga kura na vya uraia viko hard capy na vinatolewa bila malipo na serikali haijapata hasara.
 
Ni ndio, kutengenezo hizo TIN inatumia administration costs, au unadhania vinatolewa hewani?!, huu ni ufajaji wa pesa usio na lazima.
Hata vitambulisho vya taifa ni gharama na havirudishi chochote. By the way soon tutaachana na makaratasi huko mbeleni.
Tunapoelekea kila mtu atakuwa na tin, siku akipata kipato nchi tufahamu na atatimiza wajibu wake wa kikodi. Ni swala la muda tu, kama sio sisi basi watoto. Ila safari ya kila raia mwenye kipato kulipa kodi ilishaanza. Mpaka sasa ni mifumo tu inatuangusha.
 
I agree mkuu.

Unaweza kukamua watu tozo, kodi, na bado inaishia kwa Mafisadi.
Iyo ndio changamoto kubwa, tupo tayari kulipa kodi tatizo zinatumikaje? Yale ya Arusha bidhaa ya 1M inanunuliwa kwa 10M na bado mtu yupo kazini ajanyongwa iyo ni michezo ya kitoto. Waweke mikakati ya kukusanya kodi ndio lakini waweke sheria kari zaidi mpaka ya kunyonga kwa atakae cheza na izo kodi
 
Kama ulimsikiliza Mwigulu jana alisema wanahama
From Papers to Digital

Na hamna hasara yoyote kwa maana hata vitambulisho vya mpiga kura na vya uraia viko hard capy na vinatolewa bila malipo na serikali haijapata hasara.

Huelewi, bila malipo sio kwa mtu wa kawaida, ila malipo kwa serikali kuwalipa hao wanaotengeneza na kivigawa, huu ni ufujaji wa pesa kwa serikali.
 
Huyo ndio mwiguru nchemba. Anawaza kukamua kodi kila kona,sehemu ambazo hajaziwezesha. Na kodi yenyewe inaishia mifukoni mwao. Hakuna inachofanya
 
Its pointless kuwapa watu hayo TIN number ambazo hawatazitumia, soma post ya Mkuu Numbisa pale juu, katoa suggestion nzuri tu, nini kifanyike.
Naona unahamisha Mada taratibu...

ulianza kulalamika watoto wa Miaka 18 wanatozwa kodi ukaeleweshwa kwamba wanaotozwa ni wale tu wanaoingiza kipato

Sasa unalalamika serikali itapata hasara...

Unapaswa kujua kwamba hakuna kazi au mchakato wowote unaofanyika bure bila gharama ila faida zake huko mbeleni ni kubwa ukilinganisha na gharama zinazotumika kuandaa huo mfumo kwa sasa

Na ndiyo maana imetengwa budget kwa ajili ya hilo
 
Kwa nini wasisubirie mpaka hapo hao vijana watakapokuwa kwenye ajira rasmi, soma posti ya Mkuu Numbisa kama ni utambulisho wangeweza kuweka kila kitu kwenye vitambulisho vya NIDA,...kuwapa watu vitambulisho visivyokuwa na kazi again ni kufuja hela za serikali, ambazo ni za walipa kodi halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…