[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole saana ila kuwa na TIN sio kutozwa kodi ni utambulisho tu wa mlipa kodi mie ninayo TIN huu mwaka ni watatu sasa na sijawah kulipa kodi yoyote ile na hutolewa bure tu.This is sad,
Miaka 18 hata Advance hajamaliza...au ndio anamaliza...
My honest opinion...
Rebecca.
What for? mapambo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole saana ila kuwa na TIN sio kutozwa kodi ni utambulisho tu wa mlipa kodi mie ninayo TIN huu mwaka ni watatu sasa na sijawah kulipa kodi yoyote ile na hutolewa bure tu.
what for? mapambo?
okay nimewaelewa, ila kumpa mtu kitambulisho cha mlipa kodi wakati halipi kodi, wastage of resources.
Mimi nimependa mchango wako ila mkuu mimi naumia efforts zote wanazoweka wananchi Mafisadi yanajimegea tuuu...😡😡😡Wakiweka hilo kwamba kujulikane kiasi basi iwe mfano lengo ni kukusanya trillion 1 kwa kodi,kama zikikusanywa trilioni 3 basi 2 zinarudi kwa wananchi na kugawiwa asilimia kutegemeana na walivyochangia. Kuliko kusema wamevuka lengo na wanabakiwa nazo zote hapo wananchi tutaumia sana. Maana hakuna kodi inauma kwa sasa kama PAYE yaan dah ni kubwa kuliko makato yote kwenye salary slip na salary inavyopanda ndio na yenyewe inapanda zaidi na hairudi hata hamsini
Hakuna kinachopotea...okay nimewaelewa, ila kumpa mtu kitambulisho cha mlipa kodi wakati halipi kodi, wastage of resources.
Ni hivi malipo yeyote ukifanya serikalini inabidi uwe na tin number,what for? mapambo?
hahahaahah umenichekesha huo mgao halafu huna TIN number unaweza kupata heart attack, thanks mkuu kwa kunifafanulia.Ni hivi malipo yeyote ukifanya serikalini inabidi uwe na tin number,
Unaweza usiwe mlipa kodi lakini ukaagiza gari inje ya inchi na ukataka kuilipia ushuru na kuiregesta ni lazima uwe na tin number,
Au siku serikali ikisema leo tunagawa hela kwa wanachi woote inabidi uwe na tin? 🤣 naona zitagombewa
Ukiwa registered, suku yoyote utakapofanya muamala utakatwa/utaulipia kodi, ndio maana yake.what for? mapambo?
Pole,This is sad,
Miaka 18 hata Advance hajamaliza...au ndio anamaliza...
Haya ni maamuzi ya kukurupuka, una uhakika huyu 'mtoto' yuko kwenye 'ajira'rasmi?
Sana sana utawashawishi watoto wasifocus na shule waingie mtaani kutafuta ajira, unskilled jobs.
Huwezi ukafanya mambo( kodi) kama nchi zilizoendelea.
Wakati hujawawezesha ama hujaweka in place Mfumo utakaotoa ajira kwa vijana hawa.
Ukiangalia profile la kijana wa miaka 18, ni mdogo, hana skills zozote, bado yuko kwenye proccess ya kutafuta ana fit wapi in terms of career and his own identity.
Leo drastically unataka alipe kodi?
Profile la kijana huyu ni simply ' unemployable'.. sijui walifikiria nini.
Mbona ni simple logic, una create ajira, then ndio unataka watu walipe kodi.
Sio watu walipe kodi, wakati hamna ajira.
Unless nimeelewa tofauti,
Ila hii policy wamekurupuka,
Itakuwa very challenging kumuweka mtu mwenye profile la mtu wa miaka 18 ambalo ni unemployable awe employable.
Bora hata wangesema miaka 25 sababu mtu wa miaka 25 tayari ana ujuzi hata kama anaweza asiwe na uzoefu.
Wanaofanya decisions on our behalf simply ni useless...
Waste of space..
My honest opinion...
Rebecca.
TlN Ni utambulisho tu wa mlipa Kodi siyo shulutisho la kulipa Kodi nikama NIDA tu inakutambuliaha tu, ndivyo wanafanya duniani huko mf.india,us,uk etc,tax is legal compursory payment, lazima tulipe ipo kisheriaThis is sad,
Miaka 18 hata Advance hajamaliza...au ndio anamaliza...
Haya ni maamuzi ya kukurupuka, una uhakika huyu 'mtoto' yuko kwenye 'ajira'rasmi?
Sana sana utawashawishi watoto wasifocus na shule waingie mtaani kutafuta ajira, unskilled jobs.
Huwezi ukafanya mambo( kodi) kama nchi zilizoendelea.
Wakati hujawawezesha ama hujaweka in place Mfumo utakaotoa ajira kwa vijana hawa.
Ukiangalia profile la kijana wa miaka 18, ni mdogo, hana skills zozote, bado yuko kwenye proccess ya kutafuta ana fit wapi in terms of career and his own identity.
Leo drastically unataka alipe kodi?
Profile la kijana huyu ni simply ' unemployable'.. sijui walifikiria nini.
Mbona ni simple logic, una create ajira, then ndio unataka watu walipe kodi.
Sio watu walipe kodi, wakati hamna ajira.
Unless nimeelewa tofauti,
Ila hii policy wamekurupuka,
Itakuwa very challenging kumuweka mtu mwenye profile la mtu wa miaka 18 ambalo ni unemployable awe employable.
Bora hata wangesema miaka 25 sababu mtu wa miaka 25 tayari ana ujuzi hata kama anaweza asiwe na uzoefu.
Wanaofanya decisions on our behalf simply ni useless...
Waste of space..
My honest opinion...
Rebecca.
Punguza hasira bibie, TIN unakuwa nayo ikikutambulisha kama mlipa kodi, futa kwenye kichwa chako kuwa mtu mwenye miaka 18 ni mtoto. Huyu ni mtu mzima na ndiyo maana hupiga kura. Mbona hulalamiki hapa??what for? mapambo?