Ni kweli na Mimi nimeshuhudia hilo Jana mida ya sana 8:00 mchana eneo la soko la Chamwino., Chang'ombe Road ambapo Wenye maduka na pharmacy wote wamefungiwa na kubandikiwa Tangazo linalosomeka Kama ifuatavyo
" PAMEFUNGWA NA MANISPAA KALIPE SERVICE LEVY USIFUNGUE"
Maafisa hao walikuwa wakali na hawakutaka maswali, na waliwaonya wafanyabiashara hao kuwa Yeyote atakayefungua AMA kubandua ilani hiyo atalazimika kulipa faini ya Tshs. 2,000,000 (Milioni Mbili)
Ni vyema Mkurugenzi wa Manispaa afuatilie Kero hiyo kwa wananchi inayosababishwa na watumishi wake.