Kodi ilimtimua mkoloni Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,301
12,600
Kitu kikubwa kilicho wafanya wazee wetu wamchukie mkoloni kupita kiasi hadi kuamua kujiunga Kwa wingi nyuma ya TANU kudai Uhuru ni kuichukia Kodi ya manyanyazo waliokuwa wakitozwa na mkoloni.

Wazee walikimbia porini kukwepa ukatili wa mkoloni alivyokuwa akikusanya Kodi ya kichwa. Kero hiyo ndiyo iliyowafanya wazee wetu wamuunge mkono Mwl Nyerere kudai Uhuru. Mwl Nyerere kwa kulijua hilo aliifuta kodi baada ya Uhuru na hakutilia manani saaana kuhusu ulipaji kodi.

TRA ya leo lazima itumie weledi kukusanya kodi toka Kwa wananchi maana Kodi ya maonevu na ubabe itaikosanisha selikali na walipa kodi wake.
 
Hivi nikishalipia kile kitambulisho cha Mh. Rais, kuna kodi nyingine yoyote nitadaiwa na TRA?
 
Kitu kikubwa kilicho wafanya wazee wetu wamchukie mkoloni kupita kiasi hadi kuamua kujiunga Kwa wingi nyuma ya TANU kudai Uhuru ni kuichukia Kodi ya manyanyazo waliokuwa wakitozwa na mkoloni.

Wazee walikimbia porini kukwepa ukatili wa mkoloni alivyokuwa akikusanya Kodi ya kichwa. Kero hiyo ndiyo iliyowafanya wazee wetu wamuunge mkono Mwl Nyerere kudai Uhuru. Mwl Nyerere kwa kulijua hilo aliifuta kodi baada ya Uhuru na hakutilia manani saaana kuhusu ulipaji kodi.

TRA ya leo lazima itumie weledi kukusanya kodi toka Kwa wananchi maana Kodi ya maonevu na ubabe itaikosanisha selikali na walipa kodi wake.
Acha ujinga na upotoshaji.
Kwahiyo hizo huduma Bora mnazolilia zitashuka toka mbinguni?
 
Mwalimu Nyerere alisema Serikali isiyokusanya kodi ni Serikali mufilisi au ya wala Rushwa.
 
Kitu kikubwa kilicho wafanya wazee wetu wamchukie mkoloni kupita kiasi hadi kuamua kujiunga Kwa wingi nyuma ya TANU kudai Uhuru ni kuichukia Kodi ya manyanyazo waliokuwa wakitozwa na mkoloni.

Wazee walikimbia porini kukwepa ukatili wa mkoloni alivyokuwa akikusanya Kodi ya kichwa. Kero hiyo ndiyo iliyowafanya wazee wetu wamuunge mkono Mwl Nyerere kudai Uhuru. Mwl Nyerere kwa kulijua hilo aliifuta kodi baada ya Uhuru na hakutilia manani saaana kuhusu ulipaji kodi.

TRA ya leo lazima itumie weledi kukusanya kodi toka Kwa wananchi maana Kodi ya maonevu na ubabe itaikosanisha selikali na walipa kodi wake.
Kwa taarifa yako kodi ya kichwa imerudi, na kama hujasikia kila mkoa watu 25000, tayarisha msitu wakujificha
 
Kitu kikubwa kilicho wafanya wazee wetu wamchukie mkoloni kupita kiasi hadi kuamua kujiunga Kwa wingi nyuma ya TANU kudai Uhuru ni kuichukia Kodi ya manyanyazo waliokuwa wakitozwa na mkoloni.

Wazee walikimbia porini kukwepa ukatili wa mkoloni alivyokuwa akikusanya Kodi ya kichwa. Kero hiyo ndiyo iliyowafanya wazee wetu wamuunge mkono Mwl Nyerere kudai Uhuru. Mwl Nyerere kwa kulijua hilo aliifuta kodi baada ya Uhuru na hakutilia manani saaana kuhusu ulipaji kodi.

TRA ya leo lazima itumie weledi kukusanya kodi toka Kwa wananchi maana Kodi ya maonevu na ubabe itaikosanisha selikali na walipa kodi wake.
Weka umri wako hapa kwanza, inaelekea umeandika simulizi za kusadikika. Hizo kodi unazodai ni zipi! Kodi moja iliyokuwa ikiwasumbua wananchi ni kodi ya kichwa na cha ajabu wakati wa mkoloni hakukuwa na ukatili kwenye makusanyo kuliko baada ya uhuru. Nyerere aliifuta baada ya kundi la watu kufungiwa ndani ya chumba kidogo sana chenye dirisha moja na kusababisha vifo, jambo ambalo halikuwahi kutokea wakati wa ukoloni.
 
Hivi kama una frem ambayo mtaji haufiki milioni nne si unaenda tu kuchukua kitambulisho ili usilipe Kodi lukuki
 
Acha ujinga na upotoshaji.
Kwahiyo hizo huduma Bora mnazolilia zitashuka toka mbinguni?
Shida sio kulipa kodi bali inakusanyajwe na uwezo wa kuilipa.

Unadhani mwananchi iliyelima mahindi kwa jembe la mkono na kupata mazao yaliyokosa soko anaweza kulipa kodi kwa furaha?
 
Weka umri wako hapa kwanza, inaelekea umeandika simulizi za kusadikika. Hizo kodi unazodai ni zipi! Kodi moja iliyokuwa ikiwasumbua wananchi ni kodi ya kichwa na cha ajabu wakati wa mkoloni hakukuwa na ukatili kwenye makusanyo kuliko baada ya uhuru. Nyerere aliifuta baada ya kundi la watu kufungiwa ndani ya chumba kidogo sana chenye dirisha moja na kusababisha vifo, jambo ambalo halikuwahi kutokea wakati wa ukoloni.
Ahaaa, kumbe wewe una uwelewa mkubwa wa mambo haya, kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote duniani lakini hebu tuambie yafuatayo:

1. Je, wananchi wa kawaida (wakulima, wafugaji, wavuvi) wa Tanzania wanalipa kodi za aina ngapi kwa sasa?
2. Je, kiwango cha kodi kwa wananchi kinapaswa kuwa sawa kwa mikoa/kanda yote nchini?
3. Je, wananchi wanafahamu kodi ngapi wanalipa?
4. Je, kipato cha wananchi kinawawezesha kuilipa kodi kwa ufasaha?
5. Elimu ya kodi inatolewa kwa wananchi wote?
6. Nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom