The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...
Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..
Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi
Bado serikali inaanzia Wilayani....
Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..
Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..
Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..
Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..
Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...
Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..
Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..
Serikali isogee karibu kwa wananchi