Kocha wa yanga kuondoka rasmi

Kocha wa yanga kuondoka rasmi

Atakua anaogopa mafuriko,nasikia jengo lao bado kidogo lisombwe na mafuriko.
 
safi sana, hakuna litimu nisilolipenda kama la kandambili linaloshabikiwa hadi na ma-phd holder uchwara tena wapenda mipasho

Si bure hizi ni hasira za kuwa wa wanne kwenye ligi..."wapenzi wa simba ni mambumbumbu na wana njaa kali" by Ismael Aden Rage.
 
Manji kasusa wajanja wanaondoka. Kavumbagu domayo sasa kocha. Who's next?
 
Hata kama 'coaches are hired to be fired' lakini kwa simba na yangu this is too much!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom