Kocha wa Taifa Star si lolote wala chochote!

Kocha wa Taifa Star si lolote wala chochote!

mtabaki kutambiana lkn ukwel mnaujua lkn hamtak kuuweka wazi mfumo ndyo tatizo simba na yanga klabu kongwe zaid hpa nchini lkn hawana academy za kukuza vipaji vya wachezaji kila cku wanapigana vikumbo kugombea wachezaji wazee

Simba haisajili wazee imewaachia yanga. Angalia ina vijana wangapi ba tetesi za usajili wake sasa?
 
Back
Top Bottom