klabu ya yanga usiku huu imempokea kocha wake mpya kutoka uholanzi ndg. Johannes Brandts (yule aliyefukuzwa APR). Lakini safari hii imekua tofauti na ilivyozoeleka, ujio wake umekuwa wa kawaida sana, yaani hakuna viduku, ngoma wala mavuvuzela...! Y...!? Au maumivu ya mtakatifu hayajaisha...!


