Kama jiwe anavyopenda kuabudiwa!Kocha Amunike ametoka kwao kuja kutuharibia Taifa Stars. Kawaacha Afcon Ajibu na Mouse eti hawana nidhamu. Tumeona makocha wangapi wakifanya kazi na wachezaji wasiokuwa na nidhamu lakini wanacheza vizuri. Mchukue Mario Balloteli. Yeye ni kichaa kabisa lakini makocha Wa Italia hawamwachi. Pia waangalie Romario wa Brazil, Gatuso wa Italia na Diego Simone kocha wa Atletico Madrid. Wote enzi zao walikuwa watata lakini walichezea timu zao za taifa hadi walipozeeka. Kuwa kochi ni pamoja na kuhimili wachezaji watukutu. Amunike hana lolote anapenda kuabudiwa
Mkuu hao unaowataja kina gatuso, baloteli na wengineo hawna nidham ukija kweny masuala ya nje ya uwanja na ugomvi ndani ya pitch lakin WANA NIDHAM YA MAZOEZI hakuna kocha yeyote duniani ataekaa na mchezaj asie na nidham ya mazoez(kutokufanya/kushindwa kufuata anachoelekezwa/uvivu) nan asiemjua ajib kwamba ni mtu mvivu!!Kocha Amunike ametoka kwao kuja kutuharibia Taifa Stars. Kawaacha Afcon Ajibu na Mouse eti hawana nidhamu. Tumeona makocha wangapi wakifanya kazi na wachezaji wasiokuwa na nidhamu lakini wanacheza vizuri. Mchukue Mario Balloteli. Yeye ni kichaa kabisa lakini makocha Wa Italia hawamwachi. Pia waangalie Romario wa Brazil, Gatuso wa Italia na Diego Simone kocha wa Atletico Madrid. Wote enzi zao walikuwa watata lakini walichezea timu zao za taifa hadi walipozeeka. Kuwa kochi ni pamoja na kuhimili wachezaji watukutu. Amunike hana lolote anapenda kuabudiwa
Nadhani historia inatukumbusha hakuna coach aliyewahi kufaa tanzania.Kocha Amunike ametoka kwao kuja kutuharibia Taifa Stars. Kawaacha Afcon Ajibu na Mouse eti hawana nidhamu. Tumeona makocha wangapi wakifanya kazi na wachezaji wasiokuwa na nidhamu lakini wanacheza vizuri. Mchukue Mario Balloteli. Yeye ni kichaa kabisa lakini makocha Wa Italia hawamwachi. Pia waangalie Romario wa Brazil, Gatuso wa Italia na Diego Simone kocha wa Atletico Madrid. Wote enzi zao walikuwa watata lakini walichezea timu zao za taifa hadi walipozeeka. Kuwa kochi ni pamoja na kuhimili wachezaji watukutu. Amunike hana lolote anapenda kuabudiwa
Wangekuwepo hao tungeshinda? Acheni hizo, kama una ujuzi zaidi ya kochs, upewe wewe timu. Wewe na wengine wenye akili kama zako nfio mnaotuharibia soka letu. Ujuaji mwiiingi. Ajibu mwenyewe hata kwa Yanga alikuwa akila sub za kutosha, kiungo asiyeweza kukaba, kwa mechi ambazo timu iko kwenye pressure hana msaada. Acheni kukariri, wapeni hesjima wanayostahili timu yetu kwa kujitahidi kutuepusha na fedheha.Kocha Amunike ametoka kwao kuja kutuharibia Taifa Stars. Kawaacha Afcon Ajibu na Mouse eti hawana nidhamu. Tumeona makocha wangapi wakifanya kazi na wachezaji wasiokuwa na nidhamu lakini wanacheza vizuri. Mchukue Mario Balloteli. Yeye ni kichaa kabisa lakini makocha Wa Italia hawamwachi. Pia waangalie Romario wa Brazil, Gatuso wa Italia na Diego Simone kocha wa Atletico Madrid. Wote enzi zao walikuwa watata lakini walichezea timu zao za taifa hadi walipozeeka. Kuwa kochi ni pamoja na kuhimili wachezaji watukutu. Amunike hana lolote anapenda kuabudiwa
Lawama zote hazita waacha TFF Kwa kumwacha Kim Paulsen. Yule ndiye alikua ana stahili kuwa kocha wa taifa staz.
Kwenye maendeleo yoyote lazima kuwe na hatua watanzania tunapenda Raha namna ya kuitafuta Raha ndio hatuwezi hivi academy za mpira ziko wapi nidhamu inaanzia utotoni matokeo ya kuruka hatua za mpira ndio hizo hata aje Yesu hakuna lolote ,hivi kupiga pasi akufundishe amunike?hivi kujenga stamina akufundishe amunike?Haya tumeona wenzetu wamepeleka washangilia wengi tu sisi tunampleka mlevi na shoga hivi mnataka matokeo yapo?