Mkuu,Mkuu achana na maneno ya hapa huyo nyoka akigundua ameonwa anatafuta upenyo anakimbia mapema,akibananishwa ndio anakuwa balaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unadhani mamba atashuka kama wewe unavyoshuka ghorofani? Yaani ni ile kushusha mguu wa kwanza tu tayari dose! Ukishusha mguu wa pili unapata tena, akishuka mwingine anapata pia. Jamaa halina muda wa mauzo, ni vita vita mura...
Mkuu bado hujapata mda?Niliyowahi kushuhudia ya nyoka huyu Chunya mbeya acha ninyamaze tu asije fika hapa nilipo!.
Alifunga kijiji kizima baada ya kukorofishwa na vijana wa kisukuma na wawili wali-rest in peace before hawajamuona dokta.
Nitakuja na story kamili nikipata muda jinsi kijiji kilivyopata shida siku 3 kumuwinda mpaka kumuua lkn ni simulizi mpaka leo toka mwaka 2011
Hahahahaaaaa nitaiandika tu usijar. Nipo kijijin kwa sasa kuna kazi naifanya nkimaliza tu na kurud mjin ntawasimulia hatar ya nyoka huyuMkuu bado hujapata mda?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] au uanze kulia kwa nguvu akuonee huruma!Jinsi ya kumkepa huyo nyoka
Ukikutana nae akiwa kwenye hasira ulia kama tairi linalotoka upepo
Simamaa tulii muangalie tu uku ukionesha upole
Why?mi naogopa kumtaja nipo tabora
Ukorofi wake wote anamuogopa Bundi acha kabisa kiasi kwamba huwezi mkuta Koboko mtaani baada ya saa 12 jioni.Tatizo la Koboko ni "mkorofi"
Unajua Bundi ni ndege wa ajabu sana akiwa airborne mbawa zake huwa hazipigi kelele kama ndege wengine ukichanganya na uwezo wake wa kuona ni hatari sana.Ukorofi wake wote anamuogopa Bundi acha kabisa kiasi kwamba huwezi mkuta Koboko mtaani baada ya saa 12 jioni.
Kuna haja ya kuwastudy viumbe hawa ili tuwajue vizuri kwa sababu wanahusudiwa dunia nzima.Mkuu hutaki vivutio vya wa talii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mkuu...usisahau kunitagHahahahaaaaa nitaiandika tu usijar. Nipo kijijin kwa sasa kuna kazi naifanya nkimaliza tu na kurud mjin ntawasimulia hatar ya nyoka huyu
Lete video yake mkuuHa ni maneno ya mtalii mmoja alivyoshuhudia Tai (Eagle) akigongwa na kufa alipojaribu kumfanya Koboko kuwa mlo wake.
"On safari you never really know what is going to happen or what you will come across. The poor eagle thought that the mamba would be an easy meal."
How dry bites occurred thenA dry bite is a bite by a venomous animal in which no venom is released. Dry snake bites are called "Venomous snake bite without envenoming". Dry bites can occur from all snakes, ..
Mkuu umepotea aseeVipi kuhusu Tembo?
Nadhani kwasababu anaona Venom itapotea na hawezi kukula.How dry bites occurred then
Ina maana nyoka anakuwa amepungukiwa sumu au ameamua kuwa fair kidogo na kukutahadharisha au kukusamehe tu na kukujulisha kuwa "una bahati leo sina hasira"
Lete video yake mkuu
Maana eagle nae mbwembwe nying
Hahaha kuna kisa cha tembo kufunga safari mpaka kwenye nyumba ya mshkaji na kusepa naye poriniMkuu Tembo anakumbukumbu sana swali ni je Tembo anaweza kulipa kisasi au huwa mwepesi kusamehe.
Hebu tuwekee mkuu.Hahaha kuna kisa cha tembo kufunga safari mpaka kwenye nyumba ya mshkaji na kusepa naye porini