AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Mkuu wakati niko porini kwa sababu black mamba ana uwezo wa kuruka tulikuwa hatusogei karibu. Akitokea ghafla ni mawe na Vipande vya magogo tu.
Kwahio tukielekea Porini tukakuta kichuguu humimina mafuta ya taa ndani yake na kukaa mbali.
Basi nyoka yyt aliomo humo ndani mbio atakayotoka humo si ya kawaida.
Koboko (black mamba) huwezi kumsogelea bila kuwa Mtaalamu wa Nyoka. Na sababu kuu ni ule Urefu wake. Anaruka ka bullet. Na sisi wengine Viazi na ugali kila siku tulikuwa Wazito sana kwa hio we never take a chance!
Na kingine hawa Koboko sumu yao ilivyo kali huwa inapanda Mwilini fasta sana na kusimamisha moyo faster than you think.
Kuna Bubu mmoja aligongwa na Huyu Koboko kaja mbio kambini anapiga kelele tumeshindwa kuelewa nini anasema amekufa chini ya dakika 10!
Sura yake na macho yake yalibadili rangi ajabu kabisa.
Huyu Nyoka ukikutana nae ni kurudi nyuma na Kumtazama mpaka apotee. Ukimpa mgongo tu umeondoka.
Hatari kuliko kupiga kofi Polisi wa bongo mwenye njaa!
Very strange maana wengine hata mende wanawakimbia
Mkuu huyu Madame B anasema Ana nyoka mwenye kufanana na Dushelele.
Sasa sijui ana maana gani hapa.!
Watu wanajadili Koboko, ye anatupeleka kwenye hisia mbovu!
Hatari sana.
Teh teh teh!
Cyber crime watakamatwa mafala.
Hapa Sheikh Kahtaan nimecheka sana ulivyosema bubu kaanza kupiga kelele baada Ya kung'atwa na hili joka! Labda almanusura bubu angeongea!
Linapokuja suala la kumtazama huyu nyoka hadi apotee sipati picha najua Nita-blink na nitampa kisogo tu
Mkuu km hujiamini Usithubutu kwenda Porini.
Wasije kukuzika siku si zako.
Huu utani tunaofanyiana humu huko porini ni Real life. Kosa moja bao mbili.
Mi nakwambia chukua mpambe mmoja asie na kazi umtangulize mbele km Chambo we hutaki.
Mbona wako wengi tu wanazurura hapo mjini?
Ukitaka list we nishtue tu. Humu Jf wapo kibao.
hebu wataje wanaozurura humu jamvini ha ha ha ha ha ha ha ha ha
we shida yako kuwacheka! Mi nataka Anaehitaji Wapambe nimpe list hapa ya wazembe na wazururaji ili apate kuwapa ajira japo ya siku kadhaa.
Mkuu ukinipatia mpambe basi mara safari ya huko porini ikiwadia nitaenda nae huko
Wazo zuri
Bora Musri anyongwe tu.
Shenzi sana hawa side B
Bora Musri anyongwe tu.
Shenzi sana hawa side B
Bora Musri anyongwe tu.
Shenzi sana hawa side B
Sasa mkuu hayo ya Musri au Morsi yametokea wapi tena hapa kwenye majoka?
Habari za migegedo umeacha unataka watu wanyongwe.punguwan wahed(in faiza fox voice)
Hii imeingiaje kwenye huu uzi?
Hapa tunaongelea Koboko na nyoka wengine, we unaleta habari ya Kunyongana!
Au ile maneno inawasha?
We seme tu uletewe Anaconda akutulize jazba! Manake manyapi mliokomaa km wewe bila anaconda hujaskia kitu.
Teh teh teh!
Cyber crime watakamatwa mafala.
Nakwambia njoo Pm hutaki.
Asa mie nifanyeje?
Nina anza pata shaka