Nimeangalia video you tube ina maelezo ya partner wa karibu sana na Stive, ambae alishuhudia shambulio la Stingray Lililopelekea Stive kufa. Na kwa mujibu wa maelezo anasema Stive alichomwa "hundred of strikes in few a seconds"
Sasa nahitaji kujua hivi huo mwiba unakua mmoja ndani ya mkia wa samaki au mingi?
Kama chemba vile ukipiga risasi moja nyingine inakaa chemba? Kwa hiyo kazi yake inakua kufyatua tu miiba,,, Maana kuna picha nyingine naona mwiba umebaki kwa muhanga. Huyu samaki atakua na magazine yake iko full loaded na miba hatari sana.
Sasa kama ilvyokuja kubainika kuwa nyoka huwa wana sumu tofauti kuna aina nyingi za sumu sasa swali linakuja je hilo jiwe linawezaje kutibu aina karibia mia mbili za sumu?!Nenda pawaga na dodoma mpaka saiz wanaliamini sana hili jiwe. Na kijiji kizima wanajua wapi na kwa nani utalipata. Ikitokea umegongwa na nyoka direct wanakimbia kwa fulan kuchukua na kukuwekea
Mkuu sio nyoka tu!. Hata sumu ya mimeo as far as ilipoingilia panafahamika basi chukua jiwe weka sehem hiyo litainyonya sumuSasa kama ilvyokuja kubainika kuwa nyoka huwa wana sumu tofauti kuna aina nyingi za sumu sasa swali linakuja je hilo jiwe linawezaje kutibu aina karibia mia mbili za sumu?!
Basi hili jiwe lingekuwa na uwezo huo kusingelikuwa na haja ya kuumiza akili kwenda kutafuta antidotes,hata ingelikuwa hakuna haja ya kuwaogopa nyoka na sumu zao,madaktari wangeshurutisha kila raia atembee na hilo jiwe mfukoni.Mkuu sio nyoka tu!. Hata sumu ya mimeo as far as ilipoingilia panafahamika basi chukua jiwe weka sehem hiyo litainyonya sumu
Upatikanaj wake. Umenikumbusha mtangazsji mmoja was RFA alisema zile dawa zinazotumika uwanjani kuwatibu wachezaji wa soka kila mtu awe nazo ili ukiteguka ujitibu fastaBasi hili jiwe linvekuwa na uwezo huo kusingelikuwa na haja ya kuumiza akili kwenda kutafuta antidotes,hata ingelikuwa hakuna haja ya kuwaogopa nyoka na sumu zao,madaktari wangeshurutisha kila raia atembee na hilo jiwe mfukoni.
Narudia hiyo ushahidi ni nyie wanasayansi muutafute sisi linatutibu na tunaliamini na tutalitumia....Hakuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa jiwe la nyoka lina nyonya sumu ya aina yoyoye.
Je ukienda hospitali za jamhuri ya muungano unalikuta jiwe hilo?!!Narudia hiyo ushahidi ni nyie wanasayansi muutafute sisi linatutibu na tunaliamini na tutalitumia....
Wee jamaa wewe mbona umekomaa sana!. Maelezo niliyokupa huyaelewi au ndo unajitoa ufaham? NakupuuzaJe ukienda hospitali za jamhuri ya muungano unalikuta jiwe hilo?!!
Sasa jiwe kama linakubalika kuwa linatibu sumu ya nyoka kwanini serikali yetu ya jamhuri ya muungano ilipuuze wakati lingesaidia kupunguza gharama za kuagiza antivenom kutoka ughaibuni?!Wee jamaa wewe mbona umekomaa sana!. Maelezo niliyokupa huyaelewi au ndo unajitoa ufaham? Nakupuuza
itakua makanya same ...miaka kama kumi iliopita wakata mkonge wenye asili ya kirundi walipambana na nyoka wa tatu aina hio, baada ya kufanikiwa kuwauwa waliwapeleka kijijini wanakijiji wengi sana walifurika kuwaona mimi nliona ni kitu cha kawaida tu, hivyo skutaajabu sana zaidi nlisikia kua nyoka wale walikua wanapamabana huku wamesimama wana kimo zaidi ya binadamu. Leo ndio nimekuja kujua wale viumbe ni BLACK MAMBA na wale jamaa walikua ni mashujaa..Kuna sehemu nimesoma Koboko ndio aliwaua sana Wajerumani enzi za mashamba ya mikonge mpaka wakawa wanafikiri ni nyoka wa mizimu ya kiafrika.
Mkuu mikongeni waacha! sijui kwa nini nyoka wa aina zote hupenda mandhari ya mikonge.itakua makanya same ...miaka kama kumi iliopita wakata mkonge wenye asili ya kirundi walipambana na nyoka wa tatu aina hio, baada
Nimewahi kusikia hivi huwa ni kweli?!Koboko tunawatumia kwenye matambiko
Kifutu ni aina nyingine kabisa. Wazungu wanamwita viperHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?