Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,246
- 5,757
- Thread starter
- #21
yule hupaswi kumsogelea... nitamuua kesho.Uwe makini sana, kuna mwenzako aliyewahi kumtafuta kama wewe. Alipofika Alipokuwa, akawa anachomachoma kwenya majani alipoingilia.
Akachoma mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nyoka akapanda na fimbo yake iliyo mkononi na kumuumauma. Haikuchukuwa muda jamaa akavuta.
Kwa hiyo uliposema hivyo umenikumbusha yule marehemu.