Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
936
Points
1,000
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
936 1,000
Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
 
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Messages
936
Points
1,000
Njemba Soro.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2013
936 1,000
Uwe makini sana, kuna mwenzako aliyewahi kumtafuta kama wewe. Alipofika Alipokuwa, akawa anachomachoma kwenya majani alipoingilia.

Akachoma mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nyoka akapanda na fimbo yake iliyo mkononi na kumuumauma. Haikuchukuwa muda jamaa akavuta.

Kwa hiyo uliposema hivyo umenikumbusha yule marehemu.
yule hupaswi kumsogelea... nitamuua kesho.
 
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
2,523
Points
2,000
sheremaya

sheremaya

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
2,523 2,000
Huna adabu kijana yani umeshampa jina la koboko,
Kwanini ulazimishe kupita hiyo njia wakati kuna koboko na unaifahamu hatari yake..
Alafu amekupa onyo baso husikii..
Umemzidi umri lakini pumbavu inakuja tu yenyewe harakaharaka
 
Jogoo mtundu

Jogoo mtundu

Member
Joined
Apr 27, 2019
Messages
24
Points
75
Jogoo mtundu

Jogoo mtundu

Member
Joined Apr 27, 2019
24 75
Duuuuuh..mkuu kuwa makini..huyo kiumbe msikie tu
Mimi nilipo kwasasa ni nje ya mji na hao jamaa wanaishi jirani tu kama mita 200 kutoka kwenye makazi ya watu...kuna mchunga ng’ombe alipita na mifugo yake ikawa kero kwa wajomba ..huwezi amini baada ya dakika 40 ng’ombe 20 walikuwa walipotoka kabla hawajaja duniani..
 
Z

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
1,170
Points
2,000
Z

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
1,170 2,000
Koboko ana sumu ya kuua ngombe wazima mia moja na hamsini. Sumu yake nusu saa haiishi. Ana spidi kuliko gari inayopita kwenye rough road- km 25 kwa saa. Kwa hiyo akiamua kukufuata ukikimbia anakudunga faster. Njia pekee ya kumuua sio fimbo- ni kubeba chungu kilicho wazi cha uji wa moto kichwani. Akiwa kwenye mti atapenda kukudunga utosini. Akiruka akudunge anatumbukia kwenye uji wa moto anakufa. Lakini hilo linahitaji ujasiri wa kipekee. Ukimwendea na fimbo utakuwa marehemu ndani ya dk 29
 
J

Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
371
Points
500
J

Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
371 500
Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
Ukienda kumua usisahau kuchukua video ili kutuaminisha zaidi...,
 
gspain

gspain

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
669
Points
1,000
gspain

gspain

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
669 1,000
Yaani mkuu kwenye battle unayotaka kuizua na huyo kiumbe sikushauri maana angekuwa anaweza kupiga picha yeye ndio angeleta mrejesho alivo kudedisha wewe.
Habari za muda wandugu,

Huyu mpumbavu koboko kuna mahali ameamua kuhamia na sasa anaishi kama kwake, kila asubuhi nakuta yupo juu ya mti halafu anafoka sana na hataki nipite.

Sasa usiku huu narejea nakuta kachelewa kurudi halafu kanifokea tena na nimempotezea tu akatulia nikapita.

SASA KESHO NAHAKIKISHA ANAKUFA NA PICHA NITAWEKA HAPA MAANA NAONAANAVUKA MIPAKA HUYU MSHENZI.

ana speed sana na anapanda kwenye mti kwa kurukia matawi kama kima, yani hapandi kwa kutumia shina la mti, yeye anajiinua anasimamia mkia halafu anatega juu huko. Ukisikia fuuuuuuuuu....UJUE MSHIKAJI YUPO ILA KESHO NAKULA NAYE SAHANI MOJA.
 
Kasomeko

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
365
Points
1,000
Kasomeko

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
365 1,000
Huna adabu kijana yani umeshampa jina la koboko,
Kwanini ulazimishe kupita hiyo njia wakati kuna koboko na unaifahamu hatari yake..
Alafu amekupa onyo baso husikii..
Umemzidi umri lakini pumbavu inakuja tu yenyewe harakaharaka
Afadhari yako umejaribu kuvunja li code maana wengi wameshindwa hata kutambua kua sio nyoka koboko bali ni mtu. Mimi mwrnyewe sijamjua ila ukicheki maelezo ya mtoa maada unaona kabisa haongelei nyoka halisi bali mtu
 
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2015
Messages
1,653
Points
2,000
General Galadudu

General Galadudu

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2015
1,653 2,000
Zamani sana niliwahi kumkuta kwenye ka kichaka fulani hivi lakini nilikuwa cjajua kama ni yeye, nikaanza kumrushia mawe na fimbo yeye akawa anajirudisha nyuma na mi namfuata, ghafla nikastukia nanyakuliwa navutwa kwa nguvu kurudishwa nyuma, wakati bado nashanga shangaa nikatulizwa na vibao viwili matata sana, akili kuja kukaa sawa nikamsikia aliyenivuta anasema (mama mmoja hivi hata simjui) we mtoto mjinga sana, hivi KOBOKO ni kuchezea hivyo unadhani huyo ni kifutu eeh (KIFUTU ni yale manyoka manene ambayo ni nadra sana kukuuma, lakini likikuuma unaoza kwa haraka sana kuanzia pale ulipoumwa)

Kumbe lile dude wakati linarudi nyuma lilikuwa limeshakasirika, basi ile jioni tukasikia kwenye ka kichaka kalekale mbuzi 12,ngombe 2, kondoo 4 na mchungaji wao walikuwa wamepoteza maisha, basi yule mama aliyeniokoa pale kimiujiza akaja kusema nyumbani......nikajikuta nachezea kipigo kizito kutoka kwa mama, halafu baadae ndio akanipa darasa kuhusu hilo DUBWASHA......ndugu yangu wewe nakusihi tu ungeachana na huo ujinga unaotaka kujaribu kuufanya
 
Kasomeko

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Messages
365
Points
1,000
Kasomeko

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2018
365 1,000
Hahahahahahaa pole sana mkuu japo mtoa maada hananishi nyoka halisi
Zamani sana niliwahi kumkuta kwenye ka kichaka fulani hivi lakini nilikuwa cjajua kama ni yeye, nikaanza kumrushia mawe na fimbo yeye akawa anajirudisha nyuma na mi namfuata, ghafla nikastukia nanyakuliwa navutwa kwa nguvu kurudishwa nyuma, wakati bado nashanga shangaa nikatulizwa na vibao viwili matata sana, akili kuja kukaa sawa nikamsikia aliyenivuta anasema (mama mmoja hivi hata simjui) we mtoto mjinga sana, hivi KOBOKO ni kuchezea hivyo unadhani huyo ni kifutu eeh (KIFUTU ni yale manyoka manene ambayo ni nadra sana kukuuma, lakini likikuuma unaoza kwa haraka sana kuanzia pale ulipoumwa)

Kumbe lile dude wakati linarudi nyuma lilikuwa limeshakasirika, basi ile jioni tukasikia kwenye ka kichaka kalekale mbuzi 12,ngombe 2, kondoo 4 na mchungaji wao walikuwa wamepoteza maisha, basi yule mama aliyeniokoa pale kimiujiza akaja kusema nyumbani......nikajikuta nachezea kipigo kizito kutoka kwa mama, halafu baadae ndio akanipa darasa kuhusu hilo DUBWASHA......ndugu yangu wewe nakusihi tu ungeachana na huo ujinga unaotaka kujaribu kuufanya
 
Forum statistics

Threads 1,313,726
Members 504,636
Posts 31,803,395
Top