Kobil

Kobil

KIVURUGA

Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
23
Reaction score
0
Wadau naomba mnijuze hii kampuni ya oil ya kobil mishahara yao ikoje.
 
Don't ask just go for it,always gas company pay handsomely
 
kwan wametangaza nafasi? Wanaopima mafuta na kuosha magari huwaga lak 2
 
hawajatangaza, ila wamenipigia simu niende kwenye interview, nilisahau niliomba lini na position gani sijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom