MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Mbona simple tu tutaelewa hadi tarehe 19 mbona jauUkiona kobe kainama ujue anatunga sheria ..kimya kilichotanda kuhusu mjomba mjomba ujue watu wanaumiza kichwa waje na gia gani ili waweze kueleweka
Anarudi yeye mwenyeweKila mtu hakosi mzimu
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Anarudi yeye mwenyewe
Kumchinja Kobe inahitajika "TIMING".Naona sasa anaanza kuchomoza taratiiiiibuView attachment 1726075
Kama ndio uneelewa hivyo basi uelewa wako ni finyu sanaMimi nilivyoelewa:. Hiyo chini ni sanda,hiyo juu ni jeshi na yalimo macho(mwili) pana giza.
Giza limo ndani palipo na macho(mwili) na Jeshi lipo juu ikimaanisha mwili(macho) ulikuwa kwenye siasa/katiba(giza) na sasa Jeshi liko on top ya sanda na macho/giza.
Kimsingi ni "Military State"
Ndio yeye anaendelea vema soon atarejeaHayo macho humo ndani ya jumba la Kobe mbona kama ni ya mpendwa wetu jiwe
Haha kwa hiyo tutarajie resurrection after deathNdio yeye anaendelea vema soon atarejea
yeah sure, ila saivi tarajia kubatizwa kwa moto zaidiHaha kwa hiyo tutarajie resurrection after death
Yuko kwenye blanketi lake masaa yote na hali chakula kabisaEmbu tusaidiane. Kobe huyu anamaanisha nini!?
Tutamrudisha kwenye previous state kama hataki kubadilika na tutamuongezea Siku nyingi zaidi ya za sasa tutamweka down mwezi mzimayeah sure, ila saivi tarajia kubatizwa kwa moto zaidi
Kumbe mmempiga misumari??Tutamrudisha kwenye previous state kama hataki kubadilika na tutamuongezea Siku nyingi zaidi ya za sasa tutamweka down mwezi mzima
Shhh ongea taratibu!,na usimwambie mtu yoyoteKumbe mmempiga misumari??
Wakwako mpana upoje?Kama ndio uneelewa hivyo basi uelewa wako ni finyu sana