EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hata mimi sijuiEmbu tusaidiane... Kobe huyu anamaanisha nini!??
ndio ivoKwamba...
Kwanini mkuuLabda mzimu wakwe
wala haangaiki. ni kazi yake kuchora vibonzo.Kipanya anahangaika sana!
Hivi kati ya wewe na Kipanya nani anahangaika na kuteseka? Najua unao ufahamu mzuri tu na unaujua ukweli lakini kwa kukidhi matakwa ya hilo fuko lako linaloitwa tumbo inabidi uitese dhamira yako kwa kutetea uongo.Kipanya anahangaika sana!
Hebu tusaidie twende pamoja huyo wa awali alikuwaje?Naona sasa anaanza kuchomoza taratiiiibuView attachment 1726075
Hahaa Mzee nimecheka ulivoandika
.Kipanya anahangaika sana!
Mnajitesa kwa kweli!Hivi kati ya wewe na Kipanya nani anahangaika na kuteseka? Najua unao ufahamu mzuri tu na unaujua ukweli lakini kwa kukidhi matakwa ya hilo fuko lako linaloitwa tumbo inabidi uitese dhamira yako kwa kutetea uongo.
Chuma kinadai badoo...[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa Mzee nimecheka ulivoandika
Hata mimi naona hivo maana ile picha nyingine kobe alijificha kabisaaChuma kinadai badoo...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Aisee itakua "clone" nitaanza kumfuatilia Siku za ibada na kwenye kuzindua...[emoji23][emoji23][emoji23].kama kawaida chuma bado kipo fiti
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Hebu tusaidie twende pamoja huyo wa awali alikuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama Buhari wa NigeriaAisee itakua "clone" nitaanza kumfuatilia Siku za ibada na kwenye kuzindua...
Kila mtu hakosi mzimuKwanini mkuu
Chadema haijafa?????Tundu Lisu anaenda kuumbuka na Chadema yake!
Jiwe bado lipo dadekiii