knock knock knock

usifanye ubaguzi, salimia kwa salamu za dini zote.
 
Wengine salamu zetu ni Bwana Yesu asifiwe, hatujazoea kiarabu zaidi.

Nakusoma, ila ukimtaja Yesu then unahusisha na dina, ila salaam aleykum haina mwelekeo wa dini yoyote! kiswahili kimeazima maneno kutoka lugha mbalimbali ikiwemo kiarabu na kuifanya lugha yetu ipate utajiri wa maneno kuweza kurahisisha mawasiliano. kuwepo kwa maneno ya kiarabu sioni kama kunatubadili asili yetu kama waafrika/watz. ni maoni yangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…