Hiyo ni lubricant na hata mume na mke wanaweza kutumia kama mbadala wa mate (Kwa wanawake wakavu au wanaokauka baada ya kuhimili kujamiiana Kwa muda mrefu). Na hapa naongelea penis - vagina intercourse. Kuhusu matumizi mengine inategemea mtu na mtu.