pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
KLM ni kifupi cha maneno ya kidutch "Koninklijke Luchtvaart Maatschappij" ambayo kwa lugha ya kiingereza maana yake ni "Royal Dutch Airlines" tafsiri yake kwa kiswahili ni Ndege za kifalme za kiholanzi, Hili ni shirika kubwa kabisa la ndege duniani lenye makazi yake mjini Amstadam, Uholanzi na linafanya safari zake karibu kote duniani . . .
Ndege za shirika hili la ndege zina maneno "Mount Kilimanjaro" mbele kabisa ya ndege, Swali ni Je, Kuandika jina hili inasaidia vipi wizara ya maliasili na utalii katika kutangaza kivutio hichi cha taifa ???. . .
Maana wameandika tu Mt. Kilimanjaro hawajaandika nchi unakopatikana mlima huu mtu atajua vipi kama unapatikana Tanzania, Kama kuna mwenye uelewa na hili anifahamishe wana jamvi . . .