Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Protect

Member
Apr 4, 2020
94
299
Mabingwa wapya wa Tanzania, Dar Young Africans maaarufu kama Yanga usiku huu imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Kambole ambaye ni raia wa Zambia amejiunga na Yanga kama mchezaji huru baada ya kuachwa na miamba ya Afrika Kusini Kaizer Chiefs

Ujio wa Kambole ni faida kwa safu ya ushambuliaji ya Yanga inayoongozwa na mshambuliaji hatari anayeongoza kwa kufunga katika ligi kuu ya Tanzania Bara, Fiston Kalala Mayele.

Screenshot_20220616-195110_Instagram.jpg
 
Kwamba kambole ni mshambuliaji hatari.Hahaha u can't be serious mkuu
Mshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?

Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo

Timua timua ya kutafuta mchawi nani imeanza. Sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa
 
Morrison Tulimtoa Mtaani Tukamleta Jangwani Akaupiga Mwingi Mkaanza Kuleta Shobo Mkarubuni Mkafanikiwa Kumchukua, Kwaio Hata Huyu Ni Suala La Muda Tu Kwenu Makolo Kuanza Kumtamani Na Kutaka Kumsainisha
😂😂😂
Wakili msomi.

Kuzeni kipaji cha Kambale kwanza. Kwasasa hana sifa kucheza Simba
 
Mshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?

Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo

Timua timua imeanza sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa
Yanga bingwa,Yanga still unbeaten,Mayele anaongoza kwa magoli npl
 
Mshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?

Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo

Timua timua imeanza sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa
Kwa hiyo ni mzigo kama ilivyokuwa kwa Chama pale Berkane?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom