Klabu ya Sunderland kunoa makocha wakufundisha timu za Kanda ya Ziwa

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Timu ya Sunderland ya Uingereza imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya Acacia kupitia Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi ulioko Wilayani Kahama Shinyanga kufundisha makocha watakaotumika kunoa timu zenye wachezaji wachanga katika mikoa ya kanda ya ziwa.

Lengo likiwa ni kukuza vipaji na kupata wachezaji bora watakao watakaoiwakilisha Tanzania katika michuano ya soka nje na ndani ya nchi.


14991923_1036009789843328_5366051896351792027_n.jpg
 
Back
Top Bottom