Hiyo kweli ni ndege ya Club au ndege binafsi ya Kampuni ya Azam, kwa sababu kwa ukubwa huo haiwezi kubeba wachezaji kwenda Cape Verde.Mpaka sasa wanaongoza ligi chini ya Van pluijmView attachment 923270
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha b
vits nao sku hz wanatengeneza ndege
Wanaingia tu wanapakatanaHiyo kweli ni ndege ya Club au ndege binafsi ya Kampuni ya Azam, kwa sababu kwa ukubwa huo haiwezi kubeba wachezaji kwenda Cape Verde.
Mkuu ukapimwe mkojo kwa mkemia,wapi hiyo ndege imeandikwa azam fc?mwishowe utakuja kusema hata zile ferry boat zinazokwenda zenji za azam fc!Mpaka sasa wanaongoza ligi chini ya Van pluijmView attachment 923270
Mkuu ukapimwe mkojo kwa mkemia,wapi hiyo ndege imeandikwa azam fc?mwishowe utakuja kusema hata zile ferry boat zinazokwenda zenji za azam fc!Mpaka sasa wanaongoza ligi chini ya Van pluijmView attachment 923270
Si kweli. Hiyo ni ndege ya familia ya Bakhresa. Ameitoa kizalendo ili iwawahishe wachezaji wa Azam FC ambao wanacheza timu ya Taifa, iliyoondoka kuelekea kambini uswazi, kabla ya mechi dhidi ya Lesotho. Pia kuna wachezaji wa Uganda na Zimbabwe ambao nao imebidi wawahi timu zao za kitaifa.Mpaka sasa wanaongoza ligi chini ya Van pluijmView attachment 923270
Hizi ni hela za mwenye team tu cos mpira wa Bongo haulipiMpaka sasa wanaongoza ligi chini ya Van pluijmView attachment 923270
Nice comment...!Si kweli. Hiyo ni ndege ya familia ya Bakhresa. Ameitoa kizalendo ili iwawahishe wachezaji wa Azam FC ambao wanacheza timu ya Taifa, iliyoondoka kuelekea kambini uswazi, kabla ya mechi dhidi ya Lesotho. Pia kuna wachezaji wa Uganda na Zimbabwe ambao nao imebidi wawahi timu zao za kitaifa.