Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Rwandamina anasema Zesco haijawahi kupoteza mechi ya kimataifa Levi Mwanawasa.......mtajuta kubebwa na Simba
kweli wewe mbumbumbu, kama zesco hawajawahi kufungwa si wangekuwa wanachukua ubingwa wa afrika kila mwaka? ni lini walichukua ubingwa? kuwa na akili wewe
 
Mpaka sasa nafikiria lile shuti aisee! Vyura Chaliiiiiiiii

Wamebana wameachia...Wamebana wameachia
naona mbumbumbu mnashangilia dro, yanga tukitolewa tunaenda shirikisho, nyie mtabaki na ligi yenu ya matopeni kucheza na namungo
 
Wewe huna akili tu,unajua kweli goli la ugenini kwenye home and away games
Kwahyo township rollers tulitokaje pale taifa alafu kule kwao tuliwafanyaje? Hv unafkl yanga nikama simba inayoshinda nyumbani alafu inakwenda ugenini kupigwa hamsa?
 
Poleni Sana Watani! Mpira ni mchezo usiotabirika!

Kazeni buti muwapige 3-0 Zambia!
 
Wabana wameachia...Vyura Oyeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Aishangazi kuona matokeo haya ikiwa timu yenyewe imeenda kwenye michuano kwa asante ya Simba SC

naona mbumbumbu mnashangilia dro, yanga tukitolewa tunaenda shirikisho, nyie mtabaki na ligi yenu ya matopeni kucheza na namungo
 
Back
Top Bottom