KKKT yatahadharisha kuhusu COVID19

KKKT yatahadharisha kuhusu COVID19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
EAFBEEED-CBC6-49A5-A15B-B7B81FC69A6E.jpeg
 
Basi miongoni mwa tahadhari na wafunge Kanisa lao ili waumini wao wasiambukizwe na mikusanyiko.
Uko sahihi badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
Kama wanasoma corona ipo wafunge makanisa waache ubabaishaji
 
Naona sasa yule jamaa atabaki peke yake, wale anaowahubiria kila siku hakuna Corona mara wasitumie kinga za wazungu sasa wataamua kuwasikiliza viongozi wao wa kiroho, mambo ya propaganda za kisiasa ili kumpoteza Mbowe bila kujali madhara utayosababisha kwa jamii yako sasa kwisha habari yake.
 
Uko sahihi badala ya kutujazia mikelele yao ya nyaraka wafunge tu makanisa yao tumechoka minyaraka kutwa
Kama wanasoma corona ipo wafunge makanisa waache ubabaishaji
Kawaida mpumbavu akielimishwa huwa na tabia kama zako, hasira; umeambiwa kwenye tamko "usimjaribu Bwana Mungu wako", bora hao wanataka watu wajilinde kuliko yule anaesema hakuna Corona, hiyo ni hatua moja kubwa sana kwenye kuikabili Corona, kuliko kuficha kichwa chako chini kwenye mchanga wakati mwili wote uko nje kama anavyofanya bosi wako.
 
Kawaida mpumbavu akielimishwa huwa na tabia kama zako, hasira; umeambiwa kwenye tamko usimjaribu Bwana Mungu wako, bora hao wanataka watu wajilinde kuliko yule anaesema hakuna Corona, hiyo ni hatua moja kubwa sana kwwnye kuikabili Corona, kuliko kuficha kichwa chako chini kwenye mchanga wakati mwili wote uko nje kama anavyofanya bosi wako.
Kama wanaona corona ipo wafunge makanisa full stop vinginevyo ni ubabaishaji tu
 
Basi miongoni mwa tahadhari na wafunge Kanisa lao ili waumini wao wasiambukizwe na mikusanyiko.
Ha ha ha haa! Nimejikuta nacheka bila kutarajia.
====
Herd immunity inaonekana ni moja ya muarobaini wa covid, na kuna uwezekano mkubwa Mungu alitulinda kwa njia hiyo mwaka jana. Kwa kuwa wanasema kirusi kimejibadili, basi na sisi tubadili mbinu yetu lakini kwa mtindo ule ule.

Mfano, Kama mwaka jana ratio ya kinywaji cha mchanganyiko wa tangawizi, ndimu/limao, vitunguu maji, vitunguu, swaumu, kashwagara ilikuwa 1:3:2:4:1.5:7 na mchanganyiko wa kujifukuzia ratio yake ya majani ya mpera, mkaratusi, kijeera(mmea wa Rombo na Madagascar), majani ya limao, nakadhalika ilikuwa 2:1:3:4.2 basi msimu huu ratios za kinywaji na kujifukizia ziwe 3:1:2.5:4:7:3:1 na 4:1:5:2. Baada ya kutumia michanganyiko hii huku tukichukua tahadhari lakini zisizo za kutishana kama mwaka jana tuendelee kupiga kazi kama kawaida bila woga.

Kwa mbinu ya mfano huo hapo juu, hicho kirusi kikija kufikia moja ya sita ya permutations na combinations za ratios hizo hapo juu katika kujibadilisha nina hakika badala ya kuwa ugonjwa ama mdudu mwenye madhara mwilini basi kitakapo kuwa kinaingia mwilini kitakuwa vitamini na protini muhimu kwa afya njema ya mtu!!

Kumbuka maneno yanaumba. Ni kwa imani hiyo hiyo huku nikimtanguliza Mungu aliyetuvusha wimbi la covid19 la mwaka jana, sasa nimeumba mbinu ya kukabiliana na wimbi la sasa na mawimbi yajayo ya namna hii ya ama covid ama vimelea vingine vya magonjwa. Amina.

Imani inaponya.

Tuendelee kuchapa kazi ndugu zangu tena kwa furaha isiyo na kifani.
 
Back
Top Bottom