Yeye ana Wizara yake ya Michezo, kaenda Mwanza kaamua kufanya kazi tofauti kabisa ambazo ziko chini ya Wizara nyingine na kuna Waziri wake. Kama siyo upunguani ni nini?
Serikali yenye Rais na Waziri Mkuu kimyaaa. Kama vile hawakuona wala kusikia chochote kutoka kwa yule punguani.