KKKT Wana bahati ya kutoa Watendaji Wakuu wa CCM na Serikali ( Katibu mkuu na Waziri mkuu)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Hii haihusiani na mkataba wa bandari bali nilikuwa naangalia tu Baraka za Waluteri katika Uongozi wa taifa

Ndio nikakuta KKKT Wana Baraka za kuwa Injini Chamani na Serikalini

Mfano makatibu Wakuu Wa CCM mzee Mangula, Komredi Chongolo hata mzee Makamba alikuwa akiabudu Kijitonyama enzi za Mchungaji Hiza

Kule serikalini walikuwepo mzee Msuya, mzee Sumaye na mzee Lowassa

Mlale unono 😀😀
 
Tulianza kubaguana kwenye Utaifa Mara uTanganyika,,,mara uZanzibar,,,sasa tupo kwenye udini,,,tukitoka hapo tunahamia kwenye ubaguzi wa kikanda(kikabila),,ambao upo lakini ulikuwa ukifanywa Kwa maficho kidogo lakini raundi hii ya hili sakata la Dp weldi yatatamkwa na kufanywa waziwazi!!
 
What does it help to country as a whole!
JamiiForums1315008447.jpg
 
Back
Top Bottom