KKKT Kimara wavamiwa

Poleni sana wana usharika wa Kimara;ila nao polisi ni kichefuchefu tupu.Wako doria wanapigiwa simu saa 10 wao wanaripoti saa 1 kasoro yaani baada ya dakika 60 na ushee!!
 
Poleni sana wanausharika wote wa KKKT,waombeeni hao wezi waachane na dhambi.
 
Dah poleni sana wana usharika.
Hao polisi vp lilikuwa dili lao nini mbona wamekawia kufika eneo la tukio?
 
Back
Top Bottom