KKKT (ELCT) Recycles Malasusa

KKKT (ELCT) Recycles Malasusa

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
Hongera Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa kwa kuchaguliwa mara ya pili (lkn kwa awamu ya 3 ya utumishi) kuwa Kiongozi kwy huduma ya Mkuu wa KKKT Tz.

Nadhani kuimarisha kazi ya huduma shambani mwa BWANA kwa tija na kuleta utangamano kwy kazi ya Uinjilishaji, DMP igawanywe kutengeneza Dayosisi mpya.

Napendekeza majina ya Dayosisi kama ifuatavyo:-

1. Dayosisi ya Dar es Salaam (au Dayosisi ya Metropolitan Dar es Salaam). Eneo lake liwe:-
  • Temeke
  • Ilala
  • Kigamboni
  • Kinondoni
  • Ubungo
2. Dayosisi ya Mashariki. Eneo lake liwe:-
  • Kisarawe
  • Rufiji
  • Kibiti
  • Mkuranga
  • Mafia
  • Kibaha
  • Chalinze
  • Bagamoyo
  • Zanzibar

NB
- Kiti cha Askofu wa Dayosisi ya Mashariki (Hqs) kiwe Kibaha.

- Dar es Salaam ni Metropolitan hivyo ibaki kama ilivyo na wilaya zake 5 ambazo ndizo ziwe Majimbo yake.

- Dayosisi mpya ya Mashariki ambayo kimsingi sehemu yake kubwa ni Misioni sasa ipandishwe hadhi kuwa Dayosisi kama Misioni za Kigoma, Tabora, Konde, Kusini Kati na Ziwa Tanganyika zilivyopandishwa hadhi kuwa Dayosisi.

- Kukiwapo haja ya chanzo imara cha uchumi kwa Dayosisi mpya ya Mashariki basi ipewe Temeke alafu Dayosisi ya Metropolitan Dar ichukuwe Zanzibar.

- Kama Dayosisi ya Metropolitan Dar ikibaki na wilaya zake zote 5 basi katika hatua ya uchanga wa Dayosisi mpya ya Mashariki napendekeza ilelewe na Dayosisi ya Metropolitan Dar kama ambavyo Dayosisi ya Kaskazini ililea Dayosisi ya Konde na sasa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika lakini ikiendelea kulea pia baadhi ya Misioni za Malawi, Zambia, DR Congo, Msumbiji na Kenya.

Binafsi sikutegemea kama Baba Askofu Dr. Malasusa angegombea tena. Kuondolewa kwenye orodha ya wagombea jina la Askofu Bagonza halijanistua kwa sababu kwa misimamo yake na historia yake nilitegemea lolote lingemfika kama lilivyomfika.

Nimepata shida na Baba Askofu Dr. George Mark Fihavango wa Dayosisi ya Kusini-Makete kwa kuanguka kwenye uchaguzi huo.

Kiongozi huyu Baba Askofu Dr. Fihavango ninaweza kum-mithilisha na Kardinali Mteule Protase Rugambwa wa Kanisa Katoliki Tz kwa hekima, busara, falsafa, uwezo wa kusimamia haki bila kuyumbishwa, kujikana na maslahi binafsi ya ki-utu na kitaasisi, usafi wa nia na dhamiri, umahiri katika Injili, mwanamajumui mwenye kipawa cha kutangua mazonge kwenye huduma ya wito wake.

Baba Askofu Dr. Fihavango yuko vizuri Kiroho na kiuongozi wa kitaasisi. Ameumbiwa uwezo wa kufasiri jumbe za Ki-mamajusi zilizozonga Kanisa.

Nimesoma kitabu chake pale duka la Soma Biblia Mikocheni na pia safu yake kwy gazeti la Upendo la DMP.

Kwenye kitabu chake chenye kichwa "Uongozi Wetu na Dai la Uadilifu Katika Karne ya 21" ameandika akiakisi uongozi wa Kikanisa akitaja sifa kuu 4 za Kiongozi mzuri kuwa ni:-

1. Aliye tayari kuishi bila kuwa Kiongozi.

2. Aliye tayari kukabidhi uongozi inapompasa kufanya hivyo.

3. Anayejuwa na kuzingatia kuwa dhamana ya uongozi ni mkopo aliopewa na anaowaongoza ili aje awarejeshee na faida/riba (akimaanisha matokeo ya kazi).

4. Anayejuwa kusema anapotakiwa kusema na kunyamaza anapotakiwa kunyamaza.

Kile Kitabu chake chafaa kusomwa na viongozi wote wa Kiroho na Kisekula, tena wakikabidhiwe pamoja na Katiba na hati ya kiapo; wanapokula viapo.

Nisichokijuwa:
Dayosisi ya Mashariki na Pwani ilimpigia kura ya imani Askofu Malasusa inayompa kuwa Askofu hadi astaafu badala ya muda wa Kikatiba wa awamu 2 tu.

Askofu Malasusa alizaliwa Aprili 18, 1961, hivi sasa ana miaka 62, atastaafu Uaskofu wa DMP 2026 atapokuwa amefikisha umri wa Kikatiba wa Utumishi (kwake pekee kufuatia kupigiwa kura ya imani naye) wa miaka 65.

Kwa kuwa Mkuu wa Kanisa KKKT lazima awe Askofu aliyeko kazini kwenye Dayosisi yake na anayo haki ya kuwa Mkuu wa Kanisa kwa awamu 2 kwa kura, na kwa kuwa muda wake wa Uaskofu wa DMP unakoma 2026 lakini ngwe yake hii ya kwanza ya miaka 4 ya Ukuu wa Kanisa Tz inakoma 2027 maana yake ni kuwa DMP italazimika kumuongezea muda kwenye kiti cha Uaskofu ili asipoteze sifa ya kuwa Mkuu wa Kanisa Tz ambao kwa awamu 2 ya miaka 8 inatakiwa akabidhi kiti cha Ukuu wa Kanisa Tz mwaka 2031 na hivyo basi ataendelea kuwa Askofu wa DMP hadi 2031 atapokuwa na umri wa miaka 70.

Mhe. Baba Askofu Dr. Malasusa ni Banker kitaaluma hesabu hazimshindi.
 
20230821_133249.jpg
Bwana Ubwabwa kama haelewi hivi
 
Kwa kuwa Mkuu wa Kanisa KKKT lazima awe Askofu aliyeko kazini kwenye Dayosisi yake na anayo haki ya kuwa Mkuu wa Kanisa kwa awamu 2 kwa kura, na kwa kuwa muda wake wa Uaskofu wa DMP unakoma 2026 lakini ngwe yake hii ya kwanza ya miaka 4 ya Ukuu wa Kanisa Tz unakoma 2027 maana yake ni kuwa DMP italazimika kumuongezea muda kwenye kiti cha Uaskofu ili asipoteze sifa ya kuwa Mkuu wa Kanisa Tz ambao kwa awamu 2 ya miaka 8 inatakiwa akabidhi kiti cha Ukuu wa Kanisa Tz mwaka 2031 na hivyo basi ataendelea kuwa Askofu wa DMP hadi 2031 atapokuwa na umri wa miaka 70.

Mhe. Baba Askofu Dr. Malasusa ni Banker kitaaluma anajuwa hesabu.
Mmeanza kutaka kugawana sadaka.
 
Haya mambo ya dini kwa watu wengi ni uhuni tu wakawaida, wapo wa ukweli, ila wengi, hasa viongozi wakuu ni wahuni wa kawaida.
 
Sounds like utawala wa Puttin na Medved! Mara kuwa Prime Minister, mimi niwe President then flip after 8 years! Kwani nini katiba ya KKKT isiwe kama ya uraisi Tanzania, ukimaliza ngwe yako huwezi tena kugombea? It is sad kwa kanisa kumrudisha tena huyu mtu ambaye amekuwa kwenye vyombo ya habari sana kwa mambo ambayo hayapendezi(kama ni kweli)
 
Sounds like utawala wa Puttin na Medved! Mara kuwa Prime Minister, mimi niwe President then flip after 8 years! Kwani njni katiba ya KKKT isiwe kama ya uraisi Tanzania, ukimaliza ngwe yako huwezi tena kugombea? It is sad kwa kanisa!
Katiba ni Mpya so yaliyopita naona hayahesabiki!! Ni kama wameanza kuhesabu upya. Usishangae Tena kabla hajaondoka katiba ikabadilishwa Tena aendelee.

Mambo ya aibu kabisa
 
Nadhani Moravian pia waliposhindwana wakaamua kugawanyika na kuwa:-

1. Kanisa la Moravian Tanzania KMT.

2. Kanisa la Kiinjili la Moravian Tanzania KKMT.

Mwenye rekodi sahihi atusaidie.
 
Hongera Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa kwa kuchaguliwa mara ya pili (lkn kwa awamu ya 3 ya utumishi) kuwa Kiongozi kwy huduma ya Mkuu wa KKKT Tz.

Nadhani kuimarisha kazi ya huduma shambani mwa BWANA kwa tija na kuleta utangamano kwy kazi ya Uinjilishaji, DMP igawanywe kutengeneza Dayosisi mpya.

Napendekeza majina ya Dayosisi kama ifuatavyo:-

1. Dayosisi ya Dar es Salaam (au Dayosisi ya Metropolitan Dar es Salaam). Eneo lake liwe:-
  • Temeke
  • Ilala
  • Kigamboni
  • Kinondoni
  • Ubungo
2. Dayosisi ya Mashariki. Eneo lake liwe:-
  • Kisarawe
  • Rufiji
  • Kibiti
  • Mkuranga
  • Mafia
  • Kibaha
  • Chalinze
  • Bagamoyo
  • Zanzibar

NB
- Kiti cha Askofu wa Dayosisi ya Mashariki (Hqs) kiwe Kibaha.

- Dar es Salaam ni Metropolitan hivyo ibaki kama ilivyo na wilaya zake 5 ambazo ndizo ziwe Majimbo yake.

- Dayosisi mpya ya Mashariki ambayo kimsingi sehemu yake kubwa ni Misioni sasa ipandishwe hadhi kuwa Dayosisi kama Misioni za Kigoma, Tabora, Konde, Kusini Kati na Ziwa Tanganyika zilivyopandishwa hadhi kuwa Dayosisi.

- Kukiwapo haja ya chanzo imara cha uchumi kwa Dayosisi mpya ya Mashariki basi ipewe Temeke alafu Dayosisi ya Metropolitan Dar ichukuwe Zanzibar.

- Kama Dayosisi ya Metropolitan Dar ikibaki na wilaya zake zote 5 basi katika hatua ya uchanga wa Dayosisi mpya ya Mashariki napendekeza ilelewe na Dayosisi ya Metropolitan Dar kama ambavyo Dayosisi ya Kaskazini ililea Dayosisi ya Konde na sasa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika lakini ikiendelea kulea pia baadhi ya Misioni za Malawi, Zambia, DR Congo, Msumbiji na Kenya.

Binafsi sikutegemea kama Baba Askofu Dr. Malasusa angegombea tena. Kuondolewa kwenye orodha ya wagombea jina la Askofu Bagonza halijanistua kwa sababu kwa misimamo yake na historia yake nilitegemea lolote lingemfika kama lilivyomfika.

Nimepata shida na Baba Askofu Dr. George Mark Fihavango wa Dayosisi ya Kusini-Makete kwa kuanguka kwenye uchaguzi huo.

Kiongozi huyu Baba Askofu Dr. Fihavango ninaweza kum-mithilisha na Kardinali Mteule Protase Rugambwa wa Kanisa Katoliki Tz kwa hekima, busara, falsafa, uwezo wa kusimamia haki bila kuyumbishwa, kujikana na maslahi binafsi ya ki-utu na kitaasisi, usafi wa nia na dhamiri, umahiri katika Injili, mwanamajumui mwenye kipawa cha kutangua mazonge kwenye huduma ya wito wake.

Baba Askofu Dr. Fihavango yuko vizuri Kiroho na kiuongozi wa kitaasisi. Ameumbiwa uwezo wa kufasiri jumbe za Ki-mamajusi zilizozonga Kanisa.

Nimesoma kitabu chake pale duka la Soma Biblia Mikocheni na pia safu yake kwy gazeti la Upendo la DMP.

Kwenye kitabu chake chenye kichwa "Uongozi Wetu na Dai la Uadilifu Katika Karne ya 21" ameandika akiakisi uongozi wa Kikanisa akitaja sifa kuu 4 za Kiongozi mzuri kuwa ni:-

1. Aliye tayari kuishi bila kuwa Kiongozi.

2. Aliye tayari kukabidhi uongozi inapompasa kufanya hivyo.

3. Anayejuwa na kuzingatia kuwa dhamana ya uongozi ni mkopo aliopewa na anaowaongoza ili aje awarejeshee na faida/riba (akimaanisha matokeo ya kazi).

4. Anayejuwa kusema anapotakiwa kusema na kunyamaza anapotakiwa kunyamaza.

Kile Kitabu chake chafaa kusomwa na viongozi wote wa Kiroho na Kisekula, tena wakikabidhiwe pamoja na Katiba na hati ya kiapo; wanapokula viapo.

Nisichokijuwa:
Dayosisi ya Mashariki na Pwani ilimpigia kura ya imani Askofu Malasusa inayompa kuwa Askofu hadi astaafu badala ya muda wa Kikatiba wa awamu 2 tu.

Askofu Malasusa alizaliwa Aprili 18, 1961, hivi sasa ana miaka 62, atastaafu Uaskofu wa DMP 2026 atapokuwa amefikisha umri wa Kikatiba wa Utumishi (kwake pekee kufuatia kupigiwa kura ya imani naye) wa miaka 65.

Kwa kuwa Mkuu wa Kanisa KKKT lazima awe Askofu aliyeko kazini kwenye Dayosisi yake na anayo haki ya kuwa Mkuu wa Kanisa kwa awamu 2 kwa kura, na kwa kuwa muda wake wa Uaskofu wa DMP unakoma 2026 lakini ngwe yake hii ya kwanza ya miaka 4 ya Ukuu wa Kanisa Tz unakoma 2027 maana yake ni kuwa DMP italazimika kumuongezea muda kwenye kiti cha Uaskofu ili asipoteze sifa ya kuwa Mkuu wa Kanisa Tz ambao kwa awamu 2 ya miaka 8 inatakiwa akabidhi kiti cha Ukuu wa Kanisa Tz mwaka 2031 na hivyo basi ataendelea kuwa Askofu wa DMP hadi 2031 atapokuwa na umri wa miaka 70.

Mhe. Baba Askofu Dr. Malasusa ni Banker kitaaluma anajuwa hesabu.
Sasa makanisa yote yanapngozwa na Wanyakyusa, hilo je? Katoliki, KKKT na Moravian.
 
Mmeanza kuzozana. ELCT ni katawi ka CCM yetu pendwa. Wazo lako tumelikataa.
 
Back
Top Bottom