Wallahi hili ni zali la watu wa dar maana plate number ya KASINDE itaonekana mitaani.Sisi wa huku bush madongo kuliwa na mchwa plate number ya dizaini hiyo tutaifuma wapi?
Kwa sisi wa bush ungetufanyia favour kidogo kwa kututumia angalau buku ya vocha.Hapo ningekuaminia Kasinde kwamba huli ukawanyima mabest zako.
Jiandae kukabiliana na kundi la vijana na smartphone zao wakizingira gari yako kutafuta dolari.
HAPPY CHRISTMAS!!
Pesa sabuni ya roho ndo inayoushikilia moyo wa mtu na kubadili tabia ya mtu. Mapenzi unafiki tuu....
Watu wana cheat ila hela ukiitafuta haiku cheat...