everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Mkuu everlenk kile kizazi hakika kililaaniwa nina wasi wasi na hiki kizazi chetu ndiko kinakoelekea kizazi cha ufilauni.
Mungu hadhihakiwi hata kodogo, zile tamaa za wale jamaa zilizidi aisee mpaka wakakataa wanawake bikra kisa kuwatamani malaika wa bwana. Hatari sana.
Hatari kwelikweli, Mungu aturehemu kweli,hii neema tuliyopewa aliyosema hataangamiza kwa maji na kwa moto tena tusiichezee bure.